Serikali: Mafanikio makubwa ya Royal Tour ni kufanikiwa kumshawishi baba yake Rihanna kuja kuishi Tanzania

Serikali ya Tanzania imefanikiwa kuwashawishi wageni wengi kuifahamu Tanzania na kwalo HADI BABA YAKE RIHANNA AMEKUBALI KUJA KUISHI TANZANIA!

Hayo yamesemwa na Msemaji Mkuu wa Serikali bwana Gerson Msigwa.

Asante mama Samia kwa kufanikiwa kumshawishi BABA Rihanna kuja kuishi Tanzania.

View attachment 2203803
Hahahahah [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Anaupiga mwingi
 
Serikali ya Tanzania imefanikiwa kuwashawishi wageni wengi kuifahamu Tanzania na kwalo HADI BABA YAKE RIHANNA AMEKUBALI KUJA KUISHI TANZANIA!

Hayo yamesemwa na Msemaji Mkuu wa Serikali bwana Gerson Msigwa.

Asante mama Samia kwa kufanikiwa kumshawishi BABA Rihanna kuja kuishi Tanzania.

View attachment 2203803
Kwani huyu baba akija atatusaidia nini watanzania? Ataongeza kiasi gani kwenye GDP yetu? Huyu msigwa vipi!!!!
 
Serikali ya Tanzania imefanikiwa kuwashawishi wageni wengi kuifahamu Tanzania na kwalo HADI BABA YAKE RIHANNA AMEKUBALI KUJA KUISHI TANZANIA!

Hayo yamesemwa na Msemaji Mkuu wa Serikali bwana Gerson Msigwa.

Asante mama Samia kwa kufanikiwa kumshawishi BABA Rihanna kuja kuishi Tanzania.

View attachment 2203803
Na wewe unaweza kupata mwenza ukaacha kutangatanga
 
Serikali ya Tanzania imefanikiwa kuwashawishi wageni wengi kuifahamu Tanzania na kwalo HADI BABA YAKE RIHANNA AMEKUBALI KUJA KUISHI TANZANIA!

Hayo yamesemwa na Msemaji Mkuu wa Serikali bwana Gerson Msigwa.

Asante mama Samia kwa kufanikiwa kumshawishi BABA Rihanna kuja kuishi Tanzania.

View attachment 2203803
Hizi sarcastic thread zinawapa kujiliwaza kwa muda tu. Lakini kibaya ni kwamba hata akili mnaziweka katika mtindo wa kuendekeza udaku na masikhara siku zote. Wale wenye kutazama content nzima ya kitu ndio wanaokuwa wanafanikiwa siku zote.

Akina sisi tunakuwa ni walalamikaji kila kukicha kwa sababu akili zetu ndio kila kitu, unachokiwaza na kukiweka akilini muda mwingi maishani mwako ndicho kinakuja kuwa uhalisia wako siku zote.
 
Acha uwongo we sukuma gang, kasema wamefaniukiwa kuvuta wawekezaji wengi kuja nchini, pia kutakuwa na direct flights za Tanzania hadi USA
Hilo la baba wa Rihanna ni kama extra tu na sio mafanikio makubwa zaidi kama unavyotaka kuliweka wewe
Hahahahaha kwisha habari ni mwendo wa kurukaruka kama maharage yakiwa jikoni hakuna mnacho kijua
 
Tukumbushane tu kilichomzuia Michael Jackson kutembelea Sinza na Ngorongoro
 
Nilichosikia hapo ni kuwa wamepata ahadi nyingi.

Ahadi mtu anaweza timiza au asitimize hivyo hakuna manufaa ya moja kwa moja ya hiyo filamu.
 
Back
Top Bottom