Hahahahah [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Serikali ya Tanzania imefanikiwa kuwashawishi wageni wengi kuifahamu Tanzania na kwalo HADI BABA YAKE RIHANNA AMEKUBALI KUJA KUISHI TANZANIA!
Hayo yamesemwa na Msemaji Mkuu wa Serikali bwana Gerson Msigwa.
Asante mama Samia kwa kufanikiwa kumshawishi BABA Rihanna kuja kuishi Tanzania.
View attachment 2203803
Kwa hiyo mikopo isiyo na tija kwako ni mafanikio?Nongwa hizi sasa ..
Vipi haya sio mafanikio? 👇
View attachment 2203825
View attachment 2203826
View attachment 2203827
Kwani huyu baba akija atatusaidia nini watanzania? Ataongeza kiasi gani kwenye GDP yetu? Huyu msigwa vipi!!!!Serikali ya Tanzania imefanikiwa kuwashawishi wageni wengi kuifahamu Tanzania na kwalo HADI BABA YAKE RIHANNA AMEKUBALI KUJA KUISHI TANZANIA!
Hayo yamesemwa na Msemaji Mkuu wa Serikali bwana Gerson Msigwa.
Asante mama Samia kwa kufanikiwa kumshawishi BABA Rihanna kuja kuishi Tanzania.
View attachment 2203803
Mkopo usii na tija ni kama wa aje labda?Kwa hiyo mikopo isiyo na tija kwako ni mafanikio?
Na wewe unaweza kupata mwenza ukaacha kutangatangaSerikali ya Tanzania imefanikiwa kuwashawishi wageni wengi kuifahamu Tanzania na kwalo HADI BABA YAKE RIHANNA AMEKUBALI KUJA KUISHI TANZANIA!
Hayo yamesemwa na Msemaji Mkuu wa Serikali bwana Gerson Msigwa.
Asante mama Samia kwa kufanikiwa kumshawishi BABA Rihanna kuja kuishi Tanzania.
View attachment 2203803
Hizi sarcastic thread zinawapa kujiliwaza kwa muda tu. Lakini kibaya ni kwamba hata akili mnaziweka katika mtindo wa kuendekeza udaku na masikhara siku zote. Wale wenye kutazama content nzima ya kitu ndio wanaokuwa wanafanikiwa siku zote.Serikali ya Tanzania imefanikiwa kuwashawishi wageni wengi kuifahamu Tanzania na kwalo HADI BABA YAKE RIHANNA AMEKUBALI KUJA KUISHI TANZANIA!
Hayo yamesemwa na Msemaji Mkuu wa Serikali bwana Gerson Msigwa.
Asante mama Samia kwa kufanikiwa kumshawishi BABA Rihanna kuja kuishi Tanzania.
View attachment 2203803
Hahahahaha kwisha habari ni mwendo wa kurukaruka kama maharage yakiwa jikoni hakuna mnacho kijuaAcha uwongo we sukuma gang, kasema wamefaniukiwa kuvuta wawekezaji wengi kuja nchini, pia kutakuwa na direct flights za Tanzania hadi USA
Hilo la baba wa Rihanna ni kama extra tu na sio mafanikio makubwa zaidi kama unavyotaka kuliweka wewe