Serikali: Makala ya BBC haina ushahidi. Tutachukua hatua kulinda uhuru, heshima na usalama wa nchi

Serikali inapaswa kukubali kuwa kuna tatizo kubwa katika utawala uliopo na sio kujitetea kwa kila jambo. kuna shida kubwa serikali hii.
 
This mazafaka is an embarrassment to his profession!
 
Zamani ilikuwa congo sudan elitrea

Sasa hivi tanganyika aaah nyie **** mmetuharibia nchi sana. Demokrasia inazidi kuzorota na kuzoroteshwa. Viongozi wastafu wapo wanaangalia tu. TISS mpo kwa ajili ya maslahi gani?
TISS imekufa..
Wamehongwa pesa , na huko wamewekwa vibaraka wa ccm sawa na JWTZ.

TISS ingekuwa active yale yaliyotokea tarehe 29 yasingetokea.. TISS ndio hao wasiojulikana kazi yao ni kutumwa kuteka na kuua wapinzani na wanaharakati.
 
nachoka mm
 
Msigwa ni mashine ya kuchakata propaganda ya mafisadi na majizi.

Atasemaje hakuna ushahidi wakati video inaonyesha hadi makovu yaliyotokana na risasi na mishono baada ya operation kubwa alizofanyiwa Lissu?

Kwahiyo Msigwa anataka kusema Lissu alijipiga risasi 32 kwenye gari yake na 16 akazielekezea mwilini mwake?

Wao miaka 9 ya ukimya inatoa mwanya vyombo vyenye independent reporting vifanye nafasi yao, hivyo policcm na usalama wa ccm hawana wa kumlaumu sababu hawawezi kuchunguza tukio walilopanga na kutekeleza wao.

Msigwa haoni aibu hata maaskari na wanajeshi wengine mpaka wamestaafu ni wameoteana vitambi hawajawahi kumbana na shambulizi la risasi.

Na video inaonyesha hata Lissu ambaye alikua na changamoto ya miguu anashikiliwa kwa nguvu na kundi la policcm.
 
BBC iliombwa na Serikali iwahoji kwa wakati mmoja Waziri wa mambo ya ndani, spika na waziri wa ulinzi lakini walikataa.

Hiki ni kipeperushi tu cha mabeberu kipuuzwe.
 
Hivi Tbc inatoaga ya upande pande mbili
 
Msijali viongozi wetu; Mungu ataendelea kulilinda taifa letu dhidi ya hawa washenzi waovu.
 
hii taarifa imewafikia BBC au imetolewa kutufurahisha wananchi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…