Serikali: Makala ya BBC haina ushahidi. Tutachukua hatua kulinda uhuru, heshima na usalama wa nchi

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MAKALA YA BBC

Serikali imesikitishwa na makala iliyochapishwa leo tarehe 13 Julai, 2026 na Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC) kupitia kipindi chake cha "BBC Africa Eye" ambayo ime-beba maudhui ya upande mmoja, yaliyokosa ushahidi thabiti, yenye upungufu wa taar-ifa muhimu na yenye mwelekeo wa kuichafua heshima ya Tanzania Kimataifa.

Chombo cha habari cha BBC kimeendelea na mwenendo wake wa kuitangaza vibaya Tanzania kwa tuhuma nzito pasipo kutoa nafasi ya Serikali kujibu kama kinavyopaswa kufanya kwa mujibu taaluma ya uandishi wa habari licha ya Serikali kuwa tayari kutoa ushirikiano kama ambavyo kimefanya katika makala hii ambapo kilikataa kutoa nafasi kwa viongozi wawili wa upande wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kufuatia upungufu huu wa kiweledi ambao haukupaswa na hautegemewi kufanywa na chombo cha habari kinachotarajiwa kuwa na heshima kama BBC, Serikali ya Tanzania inachukulia kwa uzito mwelekeo wa maudhui ya BBC dhidi ya Tanzania na inafanya tathmini ya kina ya makala hiyo.
Mara tathmini hiyo itakapokamilika, Serikali itachukua hatua zenye lengo la kulinda uhuru, heshima na usalama wa nchi dhidi ya mashambulizi ambayo yanafanywa kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii ikiwa ni pamoja na kutoa ufafanuzi wa upo-toshaji na uchochezi wa makusudi uliojitokeza katika makala ya BBC.

Serikali inatoa wito kwa Watanzania wote kuwa makini na chokochoko zinazofanywa dhidi ya Tanzania kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii, na inapenda kuwa-hakikishia wananchi wote kuwa itaendelea kusimamia misingi yote ya kudumisha amani, umoja na mshikamano wa Watanzania wote huku ikitekeleza afua mbalimbali za kukabiliana na changamoto zinazojitokeza kisiasa, kiuchumi na kijamii kwa lengo la kuimarisha ustawi wa jamii.

Pia soma; BBC News Africa: Tundu Lissu: A Fight Too Far?
Nimesoma maoni ya serikali,ikiwa ni hivyo waipeleke bbc mahakani,kama trump alivyofanya
 
kichwa cha habari kilitakiwa kiwe

TAARIFA KWA BBC KUHUSU MAKALA YENU.

Ukituambia taarifa kwa umma sisi inatuhusu nini aisee?
 
..kuna mtu anaweza kutuwekea hiyo makala ili tujiridhishe kama ina maudhui ya ukweli, au uongo?
 
Kipi ambacho siyo sahihi kwenye documentary hiyo?
 
Wameanza kujamba soon wataachia kimba
 
Msigwa kila siku anazungumzia weledi akijiona yeye ni mtaalamu kuliko watu wote duniani, zaidi ya BBC na waandishi wake wote.

Alisema pia dhidi ya VOA, DW na CNN kuwa hawana weledi wowote zaidi yake.

Sasa tishieni kuifungia BBC kama mlivyotishia FB na Instagram kama hawatafunga account za Mange na Maria Sarungi tuone.
Km 80 anakwambia bbc, cnn, voa, dw hawana weledi hili nalo ajabu jingine
 
Mtu timamu Akivuliwa nguo Huchutama...

Punguani huanza kumkimbiza aliemvua nguo!

Mara nyingi ukichagua kukaa kimya...unazuia watu wasigundue UPUMBAVU ULIO NAO!

Pumbav kabisa Msigwa!
 
Huyu msigwa ni pimbi anaeyetumika ki siasa
ni boya yeye ana weledi gani kuizidi BBC?!
Katuga,Msigwa ,IGP Wambura ,Faustine Mafwele ,Mkuu wa majeshi ,Chalamila ,Prof.Kabudi ni miongoni mwa Watanganyika ambao wapenda haki wote tunatakiwa kuanza nao na familia zao .Ni Watanganyika vibaraka na wasaliti wakubwa.
 
Back
Top Bottom