Kwa KQ uhakikaWapo wa serikali na pia wapo wa binafsi,na binafsi wengi wenye ueezo na sifa kubwa wapo Kenya hivyo serikali wanaweza kuwakodi

Wala sio pumbavu kwani hivyo ndio hufanya Serikali zote duniani,zonapokabiliwa na suala kama hilo,acha tuone kama wana weza kuipeleka bbc mahakamaniMtu timamu Akivuliwa nguo Huchutama...
Punguani huanza kumkimbiza aliemvua nguo!
Mara nyingi ukichagua kukaa kimya...unazuia watu wasigundue UPUMBAVU ULIO NAO!
Pumbav kabisa Msigwa!
Kwakuwa kesi itafunguliwa uingereza,ili wakili aweze kuendesha kesi kwenye korti za uingereza ni lazima awe na sifa ya QC yaani Queen Council,sina hakika kama Tanzania tuna wakili mwenye sifa hiyo,hivyo itabidi watafute mawakili wa kujitegemea nje ya TanzaniaKwa KQ uhakika
BBC tuifungie Tu isirushe matangazoTzTAARIFA KWA UMMA KUHUSU MAKALA YA BBC
Serikali imesikitishwa na makala iliyochapishwa leo tarehe 13 Julai, 2026 na Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC) kupitia kipindi chake cha "BBC Africa Eye" ambayo ime-beba maudhui ya upande mmoja, yaliyokosa ushahidi thabiti, yenye upungufu wa taar-ifa muhimu na yenye mwelekeo wa kuichafua heshima ya Tanzania Kimataifa.
Chombo cha habari cha BBC kimeendelea na mwenendo wake wa kuitangaza vibaya Tanzania kwa tuhuma nzito pasipo kutoa nafasi ya Serikali kujibu kama kinavyopaswa kufanya kwa mujibu taaluma ya uandishi wa habari licha ya Serikali kuwa tayari kutoa ushirikiano kama ambavyo kimefanya katika makala hii ambapo kilikataa kutoa nafasi kwa viongozi wawili wa upande wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kufuatia upungufu huu wa kiweledi ambao haukupaswa na hautegemewi kufanywa na chombo cha habari kinachotarajiwa kuwa na heshima kama BBC, Serikali ya Tanzania inachukulia kwa uzito mwelekeo wa maudhui ya BBC dhidi ya Tanzania na inafanya tathmini ya kina ya makala hiyo.
Mara tathmini hiyo itakapokamilika, Serikali itachukua hatua zenye lengo la kulinda uhuru, heshima na usalama wa nchi dhidi ya mashambulizi ambayo yanafanywa kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii ikiwa ni pamoja na kutoa ufafanuzi wa upo-toshaji na uchochezi wa makusudi uliojitokeza katika makala ya BBC.
Serikali inatoa wito kwa Watanzania wote kuwa makini na chokochoko zinazofanywa dhidi ya Tanzania kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii, na inapenda kuwa-hakikishia wananchi wote kuwa itaendelea kusimamia misingi yote ya kudumisha amani, umoja na mshikamano wa Watanzania wote huku ikitekeleza afua mbalimbali za kukabiliana na changamoto zinazojitokeza kisiasa, kiuchumi na kijamii kwa lengo la kuimarisha ustawi wa jamii.
Pia soma; BBC News Africa: Tundu Lissu: A Fight Too Far?
KisemeKuna kitu nitakisema lakini watu wengi wanaweza kutokubali. Ni suala la muda tu lakini.... mtakuja kujua: Mwarabu ana mkono kwenye kinachoendelea sasa hivi Tanzania. Tena sana.
Heshima gani??Tutachukua hatua kulinda uhuru, heshima na usalama wa nchi
Asante mkuu hawa wahuni walipewa nafasi na serikali ya interview wakaingia mitini.
Hii mbaya sana4. MASHARTI NA MUDA MAALUMU (The Ultimatum)
Kutokana na mapendekezo ya Mjumbe Maalum, CMAG imetoa maelekezo yenye ukomo wa muda (Time-bound actions) kwa Tanzania:
Ndani ya Siku 30: Kutatua suala la kushikiliwa kwa Tundu Lissu kupitia njia za kisiasa au kisheria, na kuwaachia wengine wote wanaoshikiliwa kwa kutumia haki zao kwa amani.
Ndani ya Siku 60: Kurejesha upatikanaji kamili wa mitandao ya kijamii na kuacha vitisho dhidi ya vyombo vya habari na watetezi wa uhuru wa kujieleza.
Ndani ya Siku 90: Kuitisha jukwaa shirikishi na la kuaminika la vyama vya siasa (likiongozwa na mwezeshaji huru) kujadili mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi, ushindani wa kisiasa, wafungwa, na uwajibikaji.
Bila Kuchelewa: Kuanza uchunguzi huru wa makosa ya jinai uliopendekezwa na Tume ya Uchunguzi, pamoja na fidia kwa wahanga.
MWISHO WA UBAYA NI AIBU.
Just curious to learn! Ni maelezo gani ya ukweli ,uwazi na yanayoweza kukubalika na uma wa Watanzania ambayo serikali ingeyatoa ili ku-balanceTAARIFA KWA UMMA KUHUSU MAKALA YA BBC
Serikali imesikitishwa na makala iliyochapishwa leo tarehe 13 Julai, 2026 na Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC) kupitia kipindi chake cha "BBC Africa Eye" ambayo ime-beba maudhui ya upande mmoja, yaliyokosa ushahidi thabiti, yenye upungufu wa taar-ifa muhimu na yenye mwelekeo wa kuichafua heshima ya Tanzania Kimataifa.
Chombo cha habari cha BBC kimeendelea na mwenendo wake wa kuitangaza vibaya Tanzania kwa tuhuma nzito pasipo kutoa nafasi ya Serikali kujibu kama kinavyopaswa kufanya kwa mujibu taaluma ya uandishi wa habari licha ya Serikali kuwa tayari kutoa ushirikiano kama ambavyo kimefanya katika makala hii ambapo kilikataa kutoa nafasi kwa viongozi wawili wa upande wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kufuatia upungufu huu wa kiweledi ambao haukupaswa na hautegemewi kufanywa na chombo cha habari kinachotarajiwa kuwa na heshima kama BBC, Serikali ya Tanzania inachukulia kwa uzito mwelekeo wa maudhui ya BBC dhidi ya Tanzania na inafanya tathmini ya kina ya makala hiyo.
Mara tathmini hiyo itakapokamilika, Serikali itachukua hatua zenye lengo la kulinda uhuru, heshima na usalama wa nchi dhidi ya mashambulizi ambayo yanafanywa kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii ikiwa ni pamoja na kutoa ufafanuzi wa upo-toshaji na uchochezi wa makusudi uliojitokeza katika makala ya BBC.
Serikali inatoa wito kwa Watanzania wote kuwa makini na chokochoko zinazofanywa dhidi ya Tanzania kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii, na inapenda kuwa-hakikishia wananchi wote kuwa itaendelea kusimamia misingi yote ya kudumisha amani, umoja na mshikamano wa Watanzania wote huku ikitekeleza afua mbalimbali za kukabiliana na changamoto zinazojitokeza kisiasa, kiuchumi na kijamii kwa lengo la kuimarisha ustawi wa jamii.
Pia soma; BBC News Africa: Tundu Lissu: A Fight Too Far?
Hawa nao wanakera
Kila siku wanalalamika wao tu kutopewa nafasi.
Si kupuuzwa tu, serikali iwashikishe adabu BBC kwa kuwaburuza mahakamani.BBC iliombwa na Serikali iwahoji kwa wakati mmoja Waziri wa mambo ya ndani, spika na waziri wa ulinzi lakini walikataa.
Hiki ni kipeperushi tu cha mabeberu kipuuzwe.
Ni KC. King's counsel.Kwa KQ uhakika
Hiyo ndio best option kwa serikali, vinginevyo tutaendelea kuamini wanachoongea ni blah blah.Nimesoma maoni ya serikali,ikiwa ni hivyo waipeleke bbc mahakani,kama trump alivyofanya