ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Hàkuna Cha kusaidiwa,Mpaka ndio unazozaniwa so Kila Nchi utaweka inavyoona inafaaWataalamu wa jografia watusaidie.
Ni letu sote Nchi 3 sio Tanznaia pekeeGoogle map wanaleta chuki tu
Ziwa Nyasa ni letu Tanzania
Google wanatambua mipaka ya kikoloniBrah brah za Nini? Waende/wasiliane na Google Wawashawishi kwa hoja/facts.
Google map wanaleta chuki tu
Ziwa Nyasa ni letu Tanzania
Nawalivyo wajinga,eti mpaka ni ufukweni mwa ziwa,shenzi kabisa vijamaa vibinafsi kama wavaakobazi.Wakawaambie na google kuweka mambo sawa.
Mipaka sahihi ni ile iliyowekwa kwenye mkutano wa Berlin, mingine ni ubatili. Kwa maana hiyo hata Rwanda na Burundi ni mikoa ya TanzaniaSerikali imezuia matumizi ya Ramani za google kufundishalia wanafunzi kuhusu mipaka ya Nchi hususani mpaka wa Tanznaia na Malawi.
Kwa kutumia google,mpaka wa Tanznaia na Malawi uko pembezoni mwa Ziwa na Malawi wanadai ndio mpaka halisi wakati Ramani za Tanzania zinassma mpaka uko katikati ya Ziwa kama ilivyo Msumbiji na kwenye mipaka mingine yote ya Maziwa tuliyonayo.
Ikumbukwe Malawi wanaita Ziwa Malawi na ndio linajukikana hivyo huko google lakini hapa Tanzania ni Ziwa Nyasa.
View: https://www.instagram.com/p/DD7DDWgNEYr/?igsh=MWRmdDYyNXU4cGpweg==View attachment 3183712
My Take
Malawi wakubaliane na mpaka mpya hakuna namna mpaka utakuwa mwambao wakati huko Mozambique mpaka uko katikati.
View attachment 3183715
Ndiyo matokeo ya kuchezea na kuua elimu yetu ambapo tumekosa wataalam wa kutengenezea zana za kufundishia kidijitali na sasa tunaishi kwa nguvu za waraka na matamko tuSerikali imezuia matumizi ya Ramani za google kufundishalia wanafunzi kuhusu mipaka ya Nchi hususani mpaka wa Tanznaia na Malawi.
Kwa kutumia google,mpaka wa Tanznaia na Malawi uko pembezoni mwa Ziwa na Malawi wanadai ndio mpaka halisi wakati Ramani za Tanzania zinassma mpaka uko katikati ya Ziwa kama ilivyo Msumbiji na kwenye mipaka mingine yote ya Maziwa tuliyonayo.
Ikumbukwe Malawi wanaita Ziwa Malawi na ndio linajukikana hivyo huko google lakini hapa Tanzania ni Ziwa Nyasa.
View: https://www.instagram.com/p/DD7DDWgNEYr/?igsh=MWRmdDYyNXU4cGpweg==View attachment 3183712
My Take
Malawi wakubaliane na mpaka mpya hakuna namna mpaka utakuwa mwambao wakati huko Mozambique mpaka uko katikati.
View attachment 3183715
Tusiwape hao watu umuhimu wasiostahili, kama wanataka ukweli waje watutafute, tuwafuate wao kama nani? Marufuku kufundishia google mapSisi ndio wazembe,miaka mingi imepita tokea kuwe na huu mzozo,tumeshindwa nini kuwasiliana na watu wa google na kuwaonyesha uhalali wa mpk ili waweze ku update taarifa zao...