Serikali: Marufuku Kutumia Ramani ya Tanzania kutoka Google Kufundishia Wanafunzi, Inaonesha Ziwa Nyasa liko Malawi

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Serikali imezuia matumizi ya Ramani za google kufundishalia wanafunzi kuhusu mipaka ya Nchi hususani mpaka wa Tanznaia na Malawi.

Kwa kutumia google,mpaka wa Tanznaia na Malawi uko pembezoni mwa Ziwa na Malawi wanadai ndio mpaka halisi wakati Ramani za Tanzania zinassma mpaka uko katikati ya Ziwa kama ilivyo Msumbiji na kwenye mipaka mingine yote ya Maziwa tuliyonayo.

Ikumbukwe Malawi wanaita Ziwa Malawi na ndio linajukikana hivyo huko google lakini hapa Tanzania ni Ziwa Nyasa.

View: https://www.instagram.com/p/DD7DDWgNEYr/?igsh=MWRmdDYyNXU4cGpweg==
20241224_072200.jpg

My Take
Malawi wakubaliane na mpaka mpya hakuna namna mpaka utakuwa mwambao wakati huko Mozambique mpaka uko katikati.
Lake-Malawi-Borders-Map.jpg
 
View attachment 3183712

My Take
Malawi wakubaliane na mpaka mpya hakuna namna mpaka utakuwa mwambao wakati huko Mozambique mpaka uko katikati.
View attachment 3183715

Mipaka sahihi ni ile iliyowekwa kwenye mkutano wa Berlin, mingine ni ubatili. Kwa maana hiyo hata Rwanda na Burundi ni mikoa ya Tanzania
 
Serikali imezuia matumizi ya Ramani za google kufundishalia wanafunzi kuhusu mipaka ya Nchi hususani mpaka wa Tanznaia na Malawi.

Kwa kutumia google,mpaka wa Tanznaia na Malawi uko pembezoni mwa Ziwa na Malawi wanadai ndio mpaka halisi wakati Ramani za Tanzania zinassma mpaka uko katikati ya Ziwa kama ilivyo Msumbiji na kwenye mipaka mingine yote ya Maziwa tuliyonayo.

Ikumbukwe Malawi wanaita Ziwa Malawi na ndio linajukikana hivyo huko google lakini hapa Tanzania ni Ziwa Nyasa.

View: https://www.instagram.com/p/DD7DDWgNEYr/?igsh=MWRmdDYyNXU4cGpweg==
View attachment 3183712

My Take
Malawi wakubaliane na mpaka mpya hakuna namna mpaka utakuwa mwambao wakati huko Mozambique mpaka uko katikati.
View attachment 3183715

Ndiyo matokeo ya kuchezea na kuua elimu yetu ambapo tumekosa wataalam wa kutengenezea zana za kufundishia kidijitali na sasa tunaishi kwa nguvu za waraka na matamko tu
 
Sisi ndio wazembe,miaka mingi imepita tokea kuwe na huu mzozo,tumeshindwa nini kuwasiliana na watu wa google na kuwaonyesha uhalali wa mpk ili waweze ku update taarifa zao...
Tusiwape hao watu umuhimu wasiostahili, kama wanataka ukweli waje watutafute, tuwafuate wao kama nani? Marufuku kufundishia google map
 
Back
Top Bottom