DOKEZO Serikali mchukulieni hatua Mhasibu wa Machame Sekondari, anayoyafanya anawachafua, anatembea na wanafunzi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Amekuwa pia na tabia ya kuletea wanafunzi pombe anawalewesha na kutembea nae, pia ndio anayechajia wanafunzi simu.[emoji848][emoji3064]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe Stella wa bunju si ulikua unachangia mada ya mbinu mpya za ma single mothers? Leo tena umekua mwanafunzi [emoji28][emoji28]
 
Kama ww humtaki Acha wenzako waliwe,
 
Mkuu umeandika kwa uchungu sana ila jamaa yuko sahihi mashuleni huku kuna mazengwe sana sana yahn fitna na majungu ukifanya kazi na walimu ndiyo utaziona live.

So inawezekana huyi sio mwanafunzi ni mwalimu tu anaitaka hiyo nafasi na kama mahakama zingekuwa zinafnya kazi kwa taarifa tu za kuokota basi jela zingejaa sana.
 
Mngeitisha mgomo shule nzima ingesaidia haraka Zaidi. pia ujumbe ungeenda Kwa wengine wenye viendo viovu kama hivyo.

Wanafunzi wa SASA Sijui mnafail wapi yaani Kwa wingi WA shule ulivyo SASA mwaka unakata hujasikia madenti wamekinukisha bure kabisa..

Enzi zetu hii, namungo sengerema, Tarime etc etc. Au umri mdogo unawaponza

Nyie ndo mnawapa wanasiasa Vichwa waendelee kutesa.
 
Unaona write ipo pahala pake? Tusiwe tunalazimisha, kitu kisichokutaka yanini kukig’ang’ania. Angeliandika Kiswahili isingekuwa shida
Wapi nimelazimisha??? ww umemkosoa ilibidi unakosoa na unasema hapa ulibidi iwe ivi watu tungepata shule na hii ndio ilikuwa lengo langu otherwise utakuwa kundi lile lile wa wajuaji wa ovyo...lugha imekuja na meli hii hatujazaliwa nayo au wewe mwenzetu ulizaliwa UK pale manchester
 
Ni ujinga mtupu kukosea na kuwa mkali! Tenses hazizipandi?
 
Wanafunzi wanajipitisha pitishwa mbele ya mhasibu wao wanatarajia atawagawia pipi?
Hoja yako ni dhaifu mzee.

Unazungumzia mabinti ambao hawajapevuka kiakili kihivyo.

Wana mahitaji ya hapa na pale ambayo wazazi wanaweza wasiyatekeleze kwa wakati n.k.

Mtu wa hivyo akijipitisha huna haja ya kumlala
 
Tuanzie hapa- sheria wa Tanzania inasemaje? Mtu anatakiwa ajishughulishe na mahusiano akiwa na umri gani?

Na Kuna wamama walimu wanajihusisha na mahusiano na vijana wadogo wa shule na hilo muliangalie mkimaliza kuangalia umri wa mtu anayeruhusiwa kujishughulishwa na mapenzi katika umri gani?
 
Aisee watu wanakula kwa urefu wa kamba zao
 
Pole stela kutongozwa ni ishara wewe ni mzuri lkn kumkatalia lipo chini ya uwezo wako

Na usiweke mazingira ya kukufikia
 
TAKUKURU ndo dawa yao...

Wahi huko ili naye apate tohara ya kiakili
 
Sheria hizi Nimekuelewa kabisa mkuu,ndio maana tunahitaji transparent institutions zitakazo tupa recourse ya issue kama hizi, hawa TAKUKURU ni wezi tu wa kodi yangu, several times my PM anagundua uozo kwenye maeneo yao na wanajifanya hawakuyajua,lastly mkuu Nami ni graduate wa ualimu pale Mkwawa CNE (PC&Educ)
 
Labda utaratibu umebadilika. Hivi shule za Serikali siku hizi wanaajiri Wahasibu?
 
Bila uthibitisho wa picha, video clips, ushahidi wa daktari kwa walifanya nae mapenzi
Hii itakua stori ya kupika, na lengo ni kuichafua taswira ya shule na ya mhasibu pia
.
Mkinielewa vibaya ni sawa, ila watoto wanakula ada, wanajitongozesha kwa walimu na wahasibu halafu wanatafuta huruma ya Serikali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…