DOKEZO Serikali mchukulieni hatua Mhasibu wa Machame Sekondari, anayoyafanya anawachafua, anatembea na wanafunzi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mhasibu wa Machame Sekondari jirekebishe au serikali ingilieni kati

Mimi ni mwanafunzi nimemaliza hapo mwaka huu

Mhasibu huyu amekuwa akinitongoza kwa muda mrefu Sana, nimetoa taarifa kwa walimu hawajanipa msaada, nimetoa taarifa ya maandishi kwa Mkuu hakuna msaada.

Ninaomba wanajukwaa na viongozi mliopo humu nisaidieni suala hili, limeumiza wanafunzi wengi Sana

More enough kama unadaiwa Deni ukimkubalia kutembea nae anafuta Deni ukimkatalia anaongeza Deni. Anatia hasara serikali.

Amekuwa pia na tabia ya kuletea wanafunzi pombe anawalewesha na kutembea nae, pia ndio anayechajia wanafunzi simu.

Naomba msaada.
Amekuwa pia na tabia ya kuletea wanafunzi pombe anawalewesha na kutembea nae, pia ndio anayechajia wanafunzi simu.[emoji848][emoji3064]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mhasibu wa Machame Sekondari jirekebishe au serikali ingilieni kati

Mimi ni mwanafunzi nimemaliza hapo mwaka huu

Mhasibu huyu amekuwa akinitongoza kwa muda mrefu Sana, nimetoa taarifa kwa walimu hawajanipa msaada, nimetoa taarifa ya maandishi kwa Mkuu hakuna msaada.

Ninaomba wanajukwaa na viongozi mliopo humu nisaidieni suala hili, limeumiza wanafunzi wengi Sana

More enough kama unadaiwa Deni ukimkubalia kutembea nae anafuta Deni ukimkatalia anaongeza Deni. Anatia hasara serikali.

Amekuwa pia na tabia ya kuletea wanafunzi pombe anawalewesha na kutembea nae, pia ndio anayechajia wanafunzi simu.

Naomba msaada.
Wewe Stella wa bunju si ulikua unachangia mada ya mbinu mpya za ma single mothers? Leo tena umekua mwanafunzi [emoji28][emoji28]
 
Mhasibu wa Machame Sekondari jirekebishe au serikali ingilieni kati

Mimi ni mwanafunzi nimemaliza hapo mwaka huu

Mhasibu huyu amekuwa akinitongoza kwa muda mrefu Sana, nimetoa taarifa kwa walimu hawajanipa msaada, nimetoa taarifa ya maandishi kwa Mkuu hakuna msaada.

Ninaomba wanajukwaa na viongozi mliopo humu nisaidieni suala hili, limeumiza wanafunzi wengi Sana

More enough kama unadaiwa Deni ukimkubalia kutembea nae anafuta Deni ukimkatalia anaongeza Deni. Anatia hasara serikali.

Amekuwa pia na tabia ya kuletea wanafunzi pombe anawalewesha na kutembea nae, pia ndio anayechajia wanafunzi simu.

Naomba msaada.
Kama ww humtaki Acha wenzako waliwe,
 
Huu ni upumbavu, huyu ni whistle blower anatakiwa alindwe na apewe heshima kwa kuliandika hili, atakua ameokoa wengi, nadhani wewe huna mtoto hasa wa kike, mtoa mada nchi inahitaji push back ya nguvu ili tupate katiba mpya, katiba hii itatupatia mtu atakayeitwa PUBLIC PROTECTOR, na hii case ingetua ofisini kwake na elewa maamuzi yake ni court binding (ana hadhi ya ujaji),for now ni ngumu sana kwa mtoto wa kike kuwa kwenye hizi institutions zetu, JKT binafsi ningekua na mtoto wa kike ningempiga NO kwenda kule, nimepitia na najua kinachofanyika kule, awamu yangu wanaume tulikua tough na tuliweza kutengeneza iron ring kumzunguka mtoto wa kike aliyekua anatakiwa na OC na tukamudu kumlinda
Mkuu umeandika kwa uchungu sana ila jamaa yuko sahihi mashuleni huku kuna mazengwe sana sana yahn fitna na majungu ukifanya kazi na walimu ndiyo utaziona live.

So inawezekana huyi sio mwanafunzi ni mwalimu tu anaitaka hiyo nafasi na kama mahakama zingekuwa zinafnya kazi kwa taarifa tu za kuokota basi jela zingejaa sana.
 
Mhasibu wa Machame Sekondari jirekebishe au serikali ingilieni kati

Mimi ni mwanafunzi nimemaliza hapo mwaka huu

Mhasibu huyu amekuwa akinitongoza kwa muda mrefu Sana, nimetoa taarifa kwa walimu hawajanipa msaada, nimetoa taarifa ya maandishi kwa Mkuu hakuna msaada.

Ninaomba wanajukwaa na viongozi mliopo humu nisaidieni suala hili, limeumiza wanafunzi wengi Sana

More enough kama unadaiwa Deni ukimkubalia kutembea nae anafuta Deni ukimkatalia anaongeza Deni. Anatia hasara serikali.

Amekuwa pia na tabia ya kuletea wanafunzi pombe anawalewesha na kutembea nae, pia ndio anayechajia wanafunzi simu.

Naomba msaada.
Mngeitisha mgomo shule nzima ingesaidia haraka Zaidi. pia ujumbe ungeenda Kwa wengine wenye viendo viovu kama hivyo.

Wanafunzi wa SASA Sijui mnafail wapi yaani Kwa wingi WA shule ulivyo SASA mwaka unakata hujasikia madenti wamekinukisha bure kabisa..

Enzi zetu hii, namungo sengerema, Tarime etc etc. Au umri mdogo unawaponza

Nyie ndo mnawapa wanasiasa Vichwa waendelee kutesa.
 
Unaona write ipo pahala pake? Tusiwe tunalazimisha, kitu kisichokutaka yanini kukig’ang’ania. Angeliandika Kiswahili isingekuwa shida
Wapi nimelazimisha??? ww umemkosoa ilibidi unakosoa na unasema hapa ulibidi iwe ivi watu tungepata shule na hii ndio ilikuwa lengo langu otherwise utakuwa kundi lile lile wa wajuaji wa ovyo...lugha imekuja na meli hii hatujazaliwa nayo au wewe mwenzetu ulizaliwa UK pale manchester
 
Ni ujinga mtupu kukosea na kuwa mkali! Tenses hazizipandi?
 
Wanafunzi wanajipitisha pitishwa mbele ya mhasibu wao wanatarajia atawagawia pipi?
Hoja yako ni dhaifu mzee.

Unazungumzia mabinti ambao hawajapevuka kiakili kihivyo.

Wana mahitaji ya hapa na pale ambayo wazazi wanaweza wasiyatekeleze kwa wakati n.k.

Mtu wa hivyo akijipitisha huna haja ya kumlala
 
Tuanzie hapa- sheria wa Tanzania inasemaje? Mtu anatakiwa ajishughulishe na mahusiano akiwa na umri gani?

Na Kuna wamama walimu wanajihusisha na mahusiano na vijana wadogo wa shule na hilo muliangalie mkimaliza kuangalia umri wa mtu anayeruhusiwa kujishughulishwa na mapenzi katika umri gani?
 
Pole stela kutongozwa ni ishara wewe ni mzuri lkn kumkatalia lipo chini ya uwezo wako

Na usiweke mazingira ya kukufikia
 
Mhasibu wa Machame Sekondari jirekebishe au serikali ingilieni kati

Mimi ni mwanafunzi nimemaliza hapo mwaka huu

Mhasibu huyu amekuwa akinitongoza kwa muda mrefu Sana, nimetoa taarifa kwa walimu hawajanipa msaada, nimetoa taarifa ya maandishi kwa Mkuu hakuna msaada.

Ninaomba wanajukwaa na viongozi mliopo humu nisaidieni suala hili, limeumiza wanafunzi wengi Sana

More enough kama unadaiwa Deni ukimkubalia kutembea nae anafuta Deni ukimkatalia anaongeza Deni. Anatia hasara serikali.

Amekuwa pia na tabia ya kuletea wanafunzi pombe anawalewesha na kutembea nae, pia ndio anayechajia wanafunzi simu.

Naomba msaada.
TAKUKURU ndo dawa yao...

Wahi huko ili naye apate tohara ya kiakili
 
Kwa taarifa tu Mkuu, tayari tunayo whistle blowers Act, pia katiba ya 1977 imemtambua chini ya bill of rights.

Kwenye mada:-

Mdau hajakosea kusema haya mambo si ya kuyachukua juu juu kama yalivyo. Ukute huyu ni mwalimu ila amejiita mwanafunzi ili alete tention tu huku.

Nimeshuhudia mwajiriwa mmoja akipambana na bosi wake wa idara kisa demu wa field kwa mfumo huu huu hapa. Mambo ya mapenzi ni ya hovyo sana.
Sheria hizi
Mkuu umeandika kwa uchungu sana ila jamaa yuko sahihi mashuleni huku kuna mazengwe sana sana yahn fitna na majungu ukifanya kazi na walimu ndiyo utaziona live.

So inawezekana huyi sio mwanafunzi ni mwalimu tu anaitaka hiyo nafasi na kama mahakama zingekuwa zinafnya kazi kwa taarifa tu za kuokota basi jela zingejaa sana.
Nimekuelewa kabisa mkuu,ndio maana tunahitaji transparent institutions zitakazo tupa recourse ya issue kama hizi, hawa TAKUKURU ni wezi tu wa kodi yangu, several times my PM anagundua uozo kwenye maeneo yao na wanajifanya hawakuyajua,lastly mkuu Nami ni graduate wa ualimu pale Mkwawa CNE (PC&Educ)
 
Labda utaratibu umebadilika. Hivi shule za Serikali siku hizi wanaajiri Wahasibu?
 
Bila uthibitisho wa picha, video clips, ushahidi wa daktari kwa walifanya nae mapenzi
Hii itakua stori ya kupika, na lengo ni kuichafua taswira ya shule na ya mhasibu pia
.
Mkinielewa vibaya ni sawa, ila watoto wanakula ada, wanajitongozesha kwa walimu na wahasibu halafu wanatafuta huruma ya Serikali
 
Back
Top Bottom