DOKEZO Serikali mchukulieni hatua Mhasibu wa Machame Sekondari, anayoyafanya anawachafua, anatembea na wanafunzi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mhasibu wa Machame Sekondari jirekebishe au serikali ingilieni kati

Mimi ni mwanafunzi nimemaliza hapo mwaka huu

Mhasibu huyu amekuwa akinitongoza kwa muda mrefu Sana, nimetoa taarifa kwa walimu hawajanipa msaada, nimetoa taarifa ya maandishi kwa Mkuu hakuna msaada.

Ninaomba wanajukwaa na viongozi mliopo humu nisaidieni suala hili, limeumiza wanafunzi wengi Sana

More enough kama unadaiwa Deni ukimkubalia kutembea nae anafuta Deni ukimkatalia anaongeza Deni. Anatia hasara serikali.

Amekuwa pia na tabia ya kuletea wanafunzi pombe anawalewesha na kutembea nae, pia ndio anayechajia wanafunzi simu.

Naomba msaada.

Tunaingia kazini…!!!
Shukrani kwa kuliwasilisha!!
 
Stella wa bunju, jambo hili tunalipokea na kukuahidi kulifanyia kazi ili kuubaini ukweli na kuchukua hatua stahiki.

Be rest assured kwamba Serikali yako ni sikivu na makini. Utakapohitajika kutoa ishirikiano wowote, usisite kufanya hivyo.
Humu tu kaja kwa jina feki, akitakiwa kufika mahakamani kutoa ushahidi ili sheria ichukue mkondo wake atajitokeza kweli??!!
 
Mhasibu huyu amekuwa akinitongoza kwa muda mrefu Sana, nimetoa taarifa kwa walimu hawajanipa msaada, nimetoa taarifa ya maandishi kwa Mkuu hakuna msaada.
ALikuwa anakukuta wapi wakati wa kukutongoza?
Je ni darasani?
Bwenini?
Nje ya mazingira ya shule?
 
Mhasibu wa Machame Sekondari jirekebishe au serikali ingilieni kati

Mimi ni mwanafunzi nimemaliza hapo mwaka huu

Mhasibu huyu amekuwa akinitongoza kwa muda mrefu Sana, nimetoa taarifa kwa walimu hawajanipa msaada, nimetoa taarifa ya maandishi kwa Mkuu hakuna msaada.

Ninaomba wanajukwaa na viongozi mliopo humu nisaidieni suala hili, limeumiza wanafunzi wengi Sana

More enough kama unadaiwa Deni ukimkubalia kutembea nae anafuta Deni ukimkatalia anaongeza Deni. Anatia hasara serikali.

Amekuwa pia na tabia ya kuletea wanafunzi pombe anawalewesha na kutembea nae, pia ndio anayechajia wanafunzi simu.

Naomba msaada.
Pole ILA bila ushahidi ni ngonjera za hodi hodi twaingia
 
Samahani, umesema wewe mwanafunzi afu hapohapo umemaliza? sijaelewa.
 
Inatakiwa iwe hivyo, ila kwa kiasi kikubwa shule kongwe ndio zina hao wataalamu ambao siyo waalimu mfano: Wahasibu, watu wa maktaba, watunza stoo, lab technicians.

Mpyayungu huwa analalamika ya kweli kuhusu walimu kuonewa. Unakuta mwalimu ndio muhasibu, afundishe na kufanya mambo ya fedha.

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Shule kongwe nyingi ndo zina hao watu.
 
Mhasibu wa Machame Sekondari jirekebishe au serikali ingilieni kati

Mimi ni mwanafunzi nimemaliza hapo mwaka huu

Mhasibu huyu amekuwa akinitongoza kwa muda mrefu Sana, nimetoa taarifa kwa walimu hawajanipa msaada, nimetoa taarifa ya maandishi kwa Mkuu hakuna msaada.

Ninaomba wanajukwaa na viongozi mliopo humu nisaidieni suala hili, limeumiza wanafunzi wengi Sana

More enough kama unadaiwa Deni ukimkubalia kutembea nae anafuta Deni ukimkatalia anaongeza Deni. Anatia hasara serikali.

Amekuwa pia na tabia ya kuletea wanafunzi pombe anawalewesha na kutembea nae, pia ndio anayechajia wanafunzi simu.

Naomba msaada.
Ungeambatanisha na Picha yako ili tuone kwa namna gani mhasibu alianguka mtegoni
 
Tatizo mahakama inataka ushahidi,Je utakua tayari kusimama kizimbani kutoa ushahidi wako huo?
Ni simple kumkamata,system itumie wanafunzi waaminifu Ili kumtia mtegoni.kwisha.ila atakuwa ameshtuka maana na yeye Yuko jf
 
Mhasibu wa Machame Sekondari jirekebishe au serikali ingilieni kati

Mimi ni mwanafunzi nimemaliza hapo mwaka huu

Mhasibu huyu amekuwa akinitongoza kwa muda mrefu Sana, nimetoa taarifa kwa walimu hawajanipa msaada, nimetoa taarifa ya maandishi kwa Mkuu hakuna msaada.

Ninaomba wanajukwaa na viongozi mliopo humu nisaidieni suala hili, limeumiza wanafunzi wengi Sana

More enough kama unadaiwa Deni ukimkubalia kutembea nae anafuta Deni ukimkatalia anaongeza Deni. Anatia hasara serikali.

Amekuwa pia na tabia ya kuletea wanafunzi pombe anawalewesha na kutembea nae, pia ndio anayechajia wanafunzi simu.

Naomba msaada.
Fanya mpango watu wajue jina lake na ikkwezekana bandika na photo kabisa
 
Mhasibu wa Machame Sekondari jirekebishe au serikali ingilieni kati

Mimi ni mwanafunzi nimemaliza hapo mwaka huu

Mhasibu huyu amekuwa akinitongoza kwa muda mrefu Sana, nimetoa taarifa kwa walimu hawajanipa msaada, nimetoa taarifa ya maandishi kwa Mkuu hakuna msaada.

Ninaomba wanajukwaa na viongozi mliopo humu nisaidieni suala hili, limeumiza wanafunzi wengi Sana

More enough kama unadaiwa Deni ukimkubalia kutembea nae anafuta Deni ukimkatalia anaongeza Deni. Anatia hasara serikali.

Amekuwa pia na tabia ya kuletea wanafunzi pombe anawalewesha na kutembea nae, pia ndio anayechajia wanafunzi simu.

Naomba msaada.
Maadamu umemaliza kusoma hapo ni bora uwasiliane naye myamalize kama wote watu wazima.
 
Weka ushahidi hapa. Siyo mkitakana mkapishana kwenye malipo unamwambia nitakuchafua. Weka hapa ushahidi. Anaongezaje deni au kupunguza pesa ambayo inafahamika kisheria? Msifikiri wote sisi ni wa hovyo. Umekuja kuandika bila kuweka ushahidi Moderator je tunajuaje kama mwandishi hana nia ya kumchafua jamaa? Na kama ni kweli ushahidi uwekwe hapa ili jamaa mkware kilaza bwege mbumbumbu ashughulikiwe.
 
tutaaminije kama kweli? isije ikawa mmechukuliana mademu au katika watakao simamia zoezi la vitamburisho vya nida jina lako kama msimamizi mkuu limekatwa!!!?.n.b maswala mengine kabla ya kuyachukulia hatua inapaswa ufanyike uchunguzi wa kina kujua kiini cha tatizo hilo..ambaye anataka kujua fitina katika ualimu aniulize.
 
Back
Top Bottom