Serikali: Mgonjwa wa Corona afariki dunia Mloganzila Hospital

Serikali: Mgonjwa wa Corona afariki dunia Mloganzila Hospital

#Habari:Waziri wa Afya Mhe.Ummy Mwalimu amethibitisha kifo cha kwanza cha mgonjwa wa COVID-19 kilichotokea alfajiri ya tarehe 31 Machi 2020 katika kituo cha matibabu ya wagonjwa wa COVID -19 Mloganzila jijini Dar es Salaam.
 
Corona ichukuliwe kwa tahadhari ya hali ya juu.
Hii sio mzaha wa kikombe cha babu.
IMG-20200329-WA0011.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu mnaoendeleza maombi kwa Mungu bila kuweka jitihadi za kujinga dhidi ya huu ugonjwa mna feli wapi?
Nyie endeleni kujikusanya kwenye makanisa, misikiti , masoko , ofisini, bungeni na mikutano halafu mtapata mrejesho wake.
Nenda ukasali, acha visingizio. Au una Mungu mwingine?
 
Back
Top Bottom