mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,586
- 11,227
Kushoto kama waelekea ubungo huwa dar inaanzia kiluvya. Ila kulia mpaka ufike kibamba ndo unakuwa dar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kushoto kama waelekea ubungo huwa dar inaanzia kiluvya. Ila kulia mpaka ufike kibamba ndo unakuwa dar
Ushofu mkuu huyo alikuwa na maradhi mengine.nimeona hiyo habari clouds tv kipndi cha 360, wanasema alikuwa na umri wa miaka 49.
duuh! hii habari imenipa hofu sana
Hiyo picha sio PM wa Italy,Ni Pezo wa Brazil
sasa watuweke wazi, wanatuficha ficha kwa nini? maana ukianza kutangaza vifo ukasema ni COVID-19 kumbe mgonjwa alikuwa na pumu ama kisukari sugu inatushitua sisi wananchi.Covid inasababisha vifo hasa kwa watu ambao afya yao haipo imara.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mgonjwa wa kwanza KUFA, sio mginjwa wa kwanza kupelekwa hospital, hizi ni data mbili tofauti.Mgonjwa wa kwanza wa Corona alikuwa Isabela and we were told that she recovered and would have been discharged soon, sasa huyo wa kwanza ni nani au ni Kabudi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu mnaoendeleza maombi kwa Mungu bila kuweka jitihadi za kujinga dhidi ya huu ugonjwa mna feli wapi?
Nyie endeleni kujikusanya kwenye makanisa, misikiti , masoko , ofisini, bungeni na mikutano halafu mtapata mrejesho wake.
Hilo lipo wazi mkuu. Wagonjwa na wazee wapo hatarini kufa kwa corona kuliko mtu ambae afya yake ipo imara.sasa watuweke wazi, wanatuficha ficha kwa nini? maana ukianza kutangaza vifo ukasema ni COVID-19 kumbe mgonjwa alikuwa na pumu ama kisukari sugu inatushitua sisi wananchi.
Hakuna ugonjwa usiofanya finishing. Kila ugonjwa unaomwua mtu, kunakuwa na mapungufu mengine ndani ya mwili wako kabla ya ule uliokuua.
Bado anapostMwana FA vipi anaonekana Instagram?
Aiseeeee wewe jamaa ni bingwa wa upotoshaji, uwe unasoma vizuri anaelewa sio kukimbilia kukomenti tu, ALIYETANGAZWA NI MTANZANIA WA KWANZA KUFARIKI KWA CORONA, NA SIO MTANZANIA WA KWANZA KUUGUA.Mgonjwa wa kwanza wa Corona alikuwa Isabela and we were told that she recovered and would have been discharged soon, sasa huyo wa kwanza ni nani au ni Kabudi?
Sent using Jamii Forums mobile app