Serikali: Mgonjwa wa Corona afariki dunia Mloganzila Hospital

Serikali: Mgonjwa wa Corona afariki dunia Mloganzila Hospital

Akifariki pia hatajwi kwa jina ila unaweza kusikia fulani kafariki, alikuwa na tatizo fulani ila Corona haitajwi.

Kwa hiyo unaweza kupata taarifa ya Umy baadae ukapata ya familia/chama/Serikali ila content tofauti.

Swali: Maiti haisambazi ugonjwa wakati wa kuaga kama Ebola?

Shida yenu. Mna haraka sana na kufikiri kuwa mna akili sana kuliko wengine. Nikuambie tu kama Kuna wakati unapata ugumu hata wa kubadilisha pichu yako na soksi.

Jua uongozi wa watu 55M sio jambo rahisi. By the way. Familia imetangaza. Na anazikwa na Serikali. Kukaa kimya nayo Ni busara.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Social distancing or physical distancing as recomended by WHO is vital weapon to fight Covid-19.

However it's very difficult to control Corona virus pandemic in highly congested cities in most developing countries due to several reasons (overpopulation,poverty, poor housings, fatal pre existing disease etc.)

Tupo njia panda,lakini tusipuuzie ,ushauri wa madaktari vinginevyo tunakaribisha majanga.
 
johnthebaptist,
TANZIA
Familia ya Marehemu Alhaj Brigedia Generali Hashim Mbita kwa huzuni kubwa inasikitika kuarifu msiba wa mdogo wetu mpendwa IDDI HASHIM MBITA uliotokea usiku wa kuamkia leo hospitalini Mloganzila.

Kutokana na tatizo lililopelekea kifo chake, CORONA, serikali itamzika mpendwa wetu leo mchana. Wawakilishi wachache sana wa familia wataruhusiwa kuhudhuria mazishi. Hakutakuwa na msiba wala matanga ya pamoja kuepuka kueneza maambukizi. Kila mtu aomboleze kwake.

Dua nyingi tumuombee Iddi Allah amuweke pema peponi. Amina.
 
Back
Top Bottom