Serikali: Mgonjwa wa Corona afariki dunia Mloganzila Hospital

Serikali: Mgonjwa wa Corona afariki dunia Mloganzila Hospital

nlichogundua tangu hii kitu imeanza inaua wenye 45 n plus,ikiwa chini ya umri huo lazima awe na maradhi mengine.hii Ni kwa sababu katika umri wa kuanzia miaka 46 Kinga za mwili zinaanza kuwa dhaifu
NB:MTU MWEUSI HATA AWE NA 50 YRS KUFA KWA CORRONA LAZIMA AWE NA MARADHI MENGINE

PROUD OF BLACK
 
Kushoto kama waelekea ubungo huwa dar inaanzia kiluvya. Ila kulia mpaka ufike kibamba ndo unakuwa dar
Yap kulia mwa barabara ni pwani wilaya ya sijui kisarawe Ile.

But dar Kama jiji inaanzia kiluvya ambayo ni upande wa kushoto mpaka kibamba mwisho maeneo ya njia panda ya shule kuelekea kibwegere.

Ndo maana daladala za jiji zilizoandikwa city bus zilizo chin ya uwadar huishia hapo huku nyingine zikielekea mlonganzila.

But zile nyingine zinazoanzia mbezi kuelekea maeneo mengine ya pwani na kibaha zipo chini ya pwani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu tuendelee kuweka imani na kujikinga kwa namna yoyote iwezekanavyo kikombe hiki kipite si kwa mapenzi yetu, ila kwa mapenzi ya Mungu anayeweza yote.
 
nlichogundua tangu hii kitu imeanza inaua wenye 45 n plus,ikiwa chini ya umri huo lazima awe na maradhi mengine.hii Ni kwa sababu katika umri wa kuanzia miaka 46 Kinga za mwili zinaanza kuwa dhaifu
NB:MTU MWEUSI HATA AWE NA 50 YRS KUFA KWA CORRONA LAZIMA AWE NA MARADHI MENGINE

PROUD OF BLACK
Kwani ulaya hawafi wakiwa na maradhi mengine?? Hivi hizo elimu mnasomea Ujinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kabla ya Corona alikuwa na ugonjwa upi? lazima tulijue hilo maana corona yeye ni sombasomba hasa kwa wale wadhaifu anamalizia tu.
Si sahihi kusema 'lazima tulijue hilo' la magonjwa yaliyokuwa yakimsibu mhusika. Ugonjwa ni siri kati ya mtu na daktari wake,

ukiacha hiyo corona ambayo ndiyo tunapigana nayo na kwa hiyo hakuna budi kufafanua kwamba mbali na matatizo mengine aliyokuwa nayo mgonjwa,

corona ilikuwepo pia ili kuhamasisha watu wengine kuepukana nayo. Ni sawa na ukimwi ambao haitakuwa sahihi kutangaza fulani alikuwa na ukimwi.
 
Back
Top Bottom