Serikali: Mgonjwa wa Corona afariki dunia Mloganzila Hospital

Serikali: Mgonjwa wa Corona afariki dunia Mloganzila Hospital

COVID -19 ana sifa kubwa moja tu ya kumalizia !!
Ni jangili wa majangili, gaidi wa magaidi mbele ya magaidi. Ni mnoma kuliko HIV Virus na ni babu wa babu wa yake king tuberculosis yani huyu ndiye king wa ma virus
 
Eti alikuwa na " maradhi mengine"!

Kwahiyo? Wacha afe tu?

Mungu alitupa nafasi waafrika kujiandaa na hili janga, tukabaki kuimba nyimbo eti Tanzania hakuna Corona!!

ILITAKIWA KUZUIA WATU KUINGIA KWA MUDA KWANZA, huyu bwege wetu ndio kabisa anasema pigeni kazi tu. Na hakuna kuzuia watu kuingia nchini!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poleni wanafamilia wote,

Poleni wana Simba wote kuondokewa na mmoja ya wanakamati wa Uchaguzi.
 
Corona ni kama imekuja kuondoa watu wote wenye magonjwa yani lazima watu wote wenye magonjwa waondolewe wabaki watu wasio na magonjwa..

Sent using Jamii Forums mobile app
Huko Ulaya wapo waliofariki wenye umri chini ya miaka 50, na hawakuwa na ugonjwa mwingine wowote kabla ya kuambukizwa coronavirus.

It can kill anybody, though those with other diseses are at the higher risk.
 
Crimea,
Anahusika saaana, huwez kumtenganisha na yote yanayotokea hapa nchi kwani ndie baba wa mauaji na maafa yote na utekaji na ulipuaji wa tanker za mafuta na killings pale kibiti na tetemeko kule kagera na mafuriko kule lindi na sasa coronaizetion
 
Back
Top Bottom