Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
COVID -19 ana sifa kubwa moja tu ya kumalizia !!
Prof Kabudi ni mzima na leo amehudhuria kikao cha bunge jijini Dodoma!
Acha uongopwani
Mloganzila bado Inafanya vizuri kwenye headlines za vifo bila kujali ugonjwa
Jr[emoji769]
Good thinking,wakikujibu nimbie mkuu!kabla ya Corona alikuwa na ugonjwa upi? lazima tulijue hilo maana corona yeye ni sombasomba hasa kwa wale wadhaifu anamalizia tu.
Usijidanganye kuwa wagonjwa tu ndiyo wanafariki, Italia wamefariki madaktari 61.Kweli Covid baba lao
Yakishindwa maradhi mengine kukuondoa dunianai,Covid corona Anasomba.
Inaonesha Mungu kaleta Msamaha kwa wagonjwa kuugua kwa muda mrefu ili wasisumbuuke tena.
Hii nayo ni Rehema pia.
Mungu Mkubwa.
Na hospitali ipo kobamba, kata ya kibamba jimbo ambalo mbunge wake ni JJ MNYIKA, sisi ndio tulihamishwa hapo kupisha ujenzi na mafao ya ardhi hatukulipwa eti eneo ni la kabimita mara tanganyika packersKushoto kama waelekea ubungo huwa dar inaanzia kiluvya. Ila kulia mpaka ufike kibamba ndo unakuwa dar
Hao madaktari walifariki bila kuugua?Usijidanganye kuwa wagonjwa tu ndiyo wanafariki, Italia wamefariki madaktari 61.
Wazee wa fake news.. hivi kwanini watu mnaamini vitu bila kuthibitisha.. waziri mkuu wa Italy na btw huyo kwenye picha sio PM wa italy..Corona ichukuliwe kwa tahadhari ya hali ya juu.
Hii sio mzaha wa kikombe cha babu.
View attachment 1404731
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwamba alikuwa anawachora amekuja kutamba mbele yao tena akiwakuta hao mabishoo wanaremba yeye anapita mazimaNi jangili wa majangili, gaidi wa magaidi mbele ya magaidi. Ni mnoma kuliko HIV Virus na ni babu wa babu wa yake king tuberculosis yani huyu ndiye king wa ma virus
https://www.thelocal.it/20200330/more-than-60-doctors-have-died-in-italys-coronavirus-outbreakHao madaktari walifariki bila kuugua?
Acha kubisha mkuu kisarawe haianzii pale, ilipo hospital ni jimbo la kibamba ambapo mbunge ni mnyikaIko Pwani Kisarawe, kuanzia kibamba darajari upande wa kushoto from Dsm ni Pwani _ Kisarawe.
Wilaya ni ubungo jimbo ndio kibamba
kabla ya Corona alikuwa na ugonjwa upi? lazima tulijue hilo maana corona yeye ni sombasomba hasa kwa wale wadhaifu anamalizia tu.