Bhagavan
JF-Expert Member
- Oct 28, 2017
- 1,946
- 2,822
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapo naona kiswahili kimekupiga chenga, ana maanisha mgonjwa wa kwanza kupatwa na umauti toka corona iingie nchini, sio alienza kuumwa kabla ya wengineMgonjwa wa kwanza wa Corona alikuwa Isabela and we were told that she recovered and would have been discharged soon, sasa huyo wa kwanza ni nani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna anayezuiwa kuota. Cha muhimu, wanajamii puuzenu watu kama hawa wanaopotosha.nlichogundua tangu hii kitu imeanza inaua wenye 45 n plus,ikiwa chini ya umri huo lazima awe na maradhi mengine.hii Ni kwa sababu katika umri wa kuanzia miaka 46 Kinga za mwili zinaanza kuwa dhaifu
NB:MTU MWEUSI HATA AWE NA 50 YRS KUFA KWA CORRONA LAZIMA AWE NA MARADHI MENGINE
PROUD OF BLACK
Poleni ndugu wafiwa,Mungu awape nguvu ktk kipindi hiki kigumu.Waziri wa afya Ummy Mwalimu ametangaza kifo cha mgonjwa wa Corona kilichotokea leo asubuhi katika kituo cha Mlonganzila.
Anakuwa mgonjwa wa kwanza nchini kutangazwa kufa kwa ugonjwa huu.
"Nasikitika kutangaza Kifo cha Kwanza cha Mgonjwa wa COVID-19 hapa nchini Kilichotokea alfajiri ya Leo katika Kituo cha Matibabu ya wagonjwa wa COVID-19 kilichopo Mloganzila DSM. Marehemu ni Mtanzania Mwanaume Miaka 49 Alikuwa akisumbuliwa na Maradhi Mengine"
Waziri Ummy Mwalimu
Weee mzee wewweMloganzila bado Inafanya vizuri kwenye headlines za vifo bila kujali ugonjwa
Jr[emoji769]
Watu mnaoendeleza maombi kwa Mungu bila kuweka jitihadi za kujinga dhidi ya huu ugonjwa mna feli wapi?
Nyie endeleni kujikusanya kwenye makanisa, misikiti , masoko , ofisini, bungeni na mikutano halafu mtapata mrejesho wake.
Inawezakana ni kama imemmalizia tukabla ya Corona alikuwa na ugonjwa upi? lazima tulijue hilo maana corona yeye ni sombasomba hasa kwa wale wadhaifu anamalizia tu.
Sijakuelewa unaposema kibamba ni wilaya.
Ndugu yangu, hayo mengine unaystakia nini? Dakitari kathibitisha kafa kwa corona. Hivi wewe hapo ulipo nikikupima sasa hivi una uhakika hutakuwa na tatizo lolote la kiafya? Jamani, tusitafute visingizio hili ni janga.kabla ya Corona alikuwa na ugonjwa upi? lazima tulijue hilo maana corona yeye ni sombasomba hasa kwa wale wadhaifu anamalizia tu.
Swali zuri sana. Kutokuugua haimaanishi kutokuwa na tatizo la kiafya.
Unawahi kucoment tu wkt hujaelewa halafu mbaya zaidi unaandk na kiingreza kbsa!!watz sisi wajuaji sana!!man up jamaa..hakksha unasoma bandiko lolote hata mara mia ili km itkulazimu kucoment ucoment vzr.PATHETICMgonjwa wa kwanza wa Corona alikuwa Isabela and we were told that she recovered and would have been discharged soon, sasa huyo wa kwanza ni nani?
Sent using Jamii Forums mobile app