Serikali: Mgonjwa wa Corona afariki dunia Mloganzila Hospital

Serikali: Mgonjwa wa Corona afariki dunia Mloganzila Hospital

Kumbe korona ipo.....
Corona ipo,lakini ukiugua na kulazimika kuwekwa ICU.Bila Ventilator maisha ya mgonjwa yapo hatarini.

Nimesikia kwenye TV ya Aljazeera kuwa Hospitali za umma nchini Zimbabwe, zina jumla ya VENILATORS 7 tu.

Kwa lugha nyepesi ni vitanda 7 vya ICU na kama zitafanyiwa modification ventilator mmoja kwa watu 2 ni vitanda 14.

Je sisi Tanzania tuna ventilator ngapi?
 
Hivi tunasubiri nini kufunga safari zote za mikoani ili kuwanusuru mikoa ambayo bado haijapata maambukizi...?
soon, tujiandae kwa lockdown huyo jamaa ni High profile legion club member......CEO's club....(mens club)....jaribu kutafakari network yake ilivyo...........
 
Kwani ulaya hawafi wakiwa na maradhi mengine?? Hivi hizo elimu mnasomea Ujinga

Sent using Jamii Forums mobile app
dogo unakurupuka Kama una mkojo wa asubuhi,unafatilia takwimu za vifo kuhusu huu ugonjwa?je unajua Ni vijana wangapi wametibiwa na kupona na kuendelea na mishe zao?je unajua kwa nini mapadri wengi wamekufa kule Italy?usikurupuke tuu
 
Ukitaka uifahamu vizuri subiri uwe na mgonjwa aliyeruhusiwa baada ya kulazwa
Mimi Niko hapa tangu asubuhi sijatibiwa mara nipande lift mara nishuke mpaka nimejuta kuja huku .

Ningekuwa vibaya ningeshafariki muda.


Kwa utafiti kidogo .

Kairuki, Regency na hospital nyingi za dini zitazidi kuwa juu Kwa huduma


Ila hospital ina muonekano mzr Kwa nje na ndani na mazingira ila huduma zake niseme ukweli ni mbovu mno

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr[emoji769]
 
hizi ndio habari ambazo sitaki kabisa kuzisikia
 
Tunaisingizia Corona,,!

Corona haiwezi kuua bila kupata msaada wa Ugonjwa mwingine..

My Take:Tujihadhari na kufanya Jitihada za wazi kuepuka maambukizi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanzo na mimi nilikuwa na mawazo kama yako na kudhani pia wanaokufa ni wazee tu. Huku nilipo sasa hivi haichagui. Wanakufa mamia kila siku na haichagui, umri au una magonjwa mengine.

Na huku hospitali wanachagua kwa sababu wamezidiwa. Huchukuliwi kama una dalili mpaka ifike stage ya huwezi kupumua.

Kwa sababu wenyewe wanasema ukiipata ukae ndani me a parasol kwa ajili ya kushusha temperature
 
Kifo kimoja tu cha Mtanzania kutokana na kupuuza ushauri wa WHO, is one too many.
 
Duh... mwanaume convid-19 ameshaanza amsha amsha kama kidumu na international ballastic massilles.. ...
 
Ivi alikua kwenye list ya 19!!!!?😳😳😳😳
 
Back
Top Bottom