Serikali: Mgonjwa wa Corona afariki dunia Mloganzila Hospital

Serikali: Mgonjwa wa Corona afariki dunia Mloganzila Hospital

Mie nimeguswa na sehemu inayosema mgonjwa mmoja amepona. Najiuliza Mwana FA, Isabella ama meneja wa Diamond yupi alopona?

Wale waliomwambia Mwana FA assme ameugua Corona kisha aseme amepona walikusudia nini?

Waziri Ummy alionekana kumpongeza na kumsifu Mwana FA, alijua anachokifanya?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
soon or later, wachina wataitawala dunia......bado serikali haijawa serious....takwimu sahihi hatupewi,,, wananchi wanajiachia kama kawa.......just ''KUOSHA MIKONO'' pekee haitotufikisha
 
This is a huge wake up call for those who be saying that corona inaua wazungu tuu.


Bagwell
 
Daima ww ni zaidi ya kamanda, Tunaamini Mungu mungu ni upendo nawe kakupenda zaidi.
Mbele yetu nyumba yetu tangulia kamanda.
Rest in Peace
 
Inasemekana alikuwa anasumbuliwa na magonjwa mengine ndio yamemwondoa
kabla ya Corona alikuwa na ugonjwa upi? lazima tulijue hilo maana corona yeye ni sombasomba hasa kwa wale wadhaifu anamalizia tu.
 
Nawapa pole familia kwa kuondokewa na mpendwa wao, vipi wataalam kwa wanaoenda kumzika marehemu hawawezi kupata maambukizi?
 
soon or later, wachina wataitawala dunia......bado serikali haijawa serious....takwimu sahihi hatupewi,,, wananchi wanajiachia kama kawa.......just ''KUOSHA MIKONO'' pekee haitotufikisha
Hata kuosha mikono wengine wanapuuzia!
 
Hivi tunasubiri nini kufunga safari zote za mikoani ili kuwanusuru mikoa ambayo bado haijapata maambukizi...?
 
stella1975,

Mkuu, umeongea jambo ambalo nimelipigia sana sana humu kuhusiana na ugonjwa huu.
Watu wengi wengi wanakufa kwa Hiv, malaria na magonjwa mengine.
 
Mloganzila bado Inafanya vizuri kwenye headlines za vifo bila kujali ugonjwa

Jr[emoji769]
Ni Mloganzila. Mloganzila tena. Ni wagonjwa wote wa Corona wako Mloganzila?
Mimi Niko hapa tangu asubuhi sijatibiwa mara nipande lift mara nishuke mpaka nimejuta kuja huku .

Ningekuwa vibaya ningeshafariki muda.


Kwa utafiti kidogo .

Kairuki, Regency na hospital nyingi za dini zitazidi kuwa juu Kwa huduma


Ila hospital ina muonekano mzr Kwa nje na ndani na mazingira ila huduma zake niseme ukweli ni mbovu mno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom