Serikali: Mgonjwa wa Corona afariki dunia Mloganzila Hospital

#Habari:Waziri wa Afya Mhe.Ummy Mwalimu amethibitisha kifo cha kwanza cha mgonjwa wa COVID-19 kilichotokea alfajiri ya tarehe 31 Machi 2020 katika kituo cha matibabu ya wagonjwa wa COVID -19 Mloganzila jijini Dar es Salaam.
 
Watu mnaoendeleza maombi kwa Mungu bila kuweka jitihadi za kujinga dhidi ya huu ugonjwa mna feli wapi?
Nyie endeleni kujikusanya kwenye makanisa, misikiti , masoko , ofisini, bungeni na mikutano halafu mtapata mrejesho wake.
Nenda ukasali, acha visingizio. Au una Mungu mwingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…