Serikali, mikataba ya DP World haikuwa na ulazima wowote kuitangaza. Msirudie hili kosa kabisa nchi yetu bado ni ya wapiga makelele…

Ona Punga hili.
Kwani serikali iliutangaza huo mkataba?
Ni kwa kuwa ni mkataba wa hovyo ndiyo maana wwnye akili na uchungu na rasilimali za nchi wakauvujisha kwa wananchi wenye nchi yao.
Mlitaka mfanyie gizani? Haujui kuwa zama hizi hilo kamwe haliwezekaniki?
Kama mnaona kelele ni nyingi kwani kuna aliyewalazimisheni kuendelea kuwepo madarakani? Si ni njaa na tamaa zenu? Kama hamtaki kelele kaeni kando, muwaachie wengine.
Nyamafu
 
Sio mzalendo ni mbea
 
We we ni Ng'ombe

Daaa nimecheka sanaa ujue[emoji30][emoji30][emoji30][emoji16]
Nilikuwa nakamua mtamba hapa huyu ng’ombe huwa tunamuits Cheusi….kifupi Cheuuu
Utamkamua anakuangalia tuu,Yaani utamfanya Utakavyo,Nadhani labda sababu ya Uzee wake au??
hata watoto wanamchezea
sada unemuita jamaa eti Ng’ombe nimemuangalia huyu wa nyumbani hapa nimecheka sanaa[emoji12][emoji16][emoji16][emoji3]
 
Kwa hiyo tuwe tunapokea matokeo ya uozo wa hiyo mikataba ila tusiwe tunaijua toka awali
Kwa magufuli alikuwa anawaambia kama amekopa? Alikuwa anasema kama amesahini mkataba wowote? Mbona mlikuwa kimya kulalalmika tweeter ifunguliwe
 

Mganguzi[emoji115][emoji30][emoji12]
 

Mikataba ya nyuma ambayo walifanua siri baadae ilikuja julikana ni ya kifisadi. Siri imeisaidia nn hili taifa?
 
Papai jingine hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…