Serikali, mikataba ya DP World haikuwa na ulazima wowote kuitangaza. Msirudie hili kosa kabisa nchi yetu bado ni ya wapiga makelele…

Nchi hii imejaa vilaza na watu wajinga sana kiasi kwamba unajiuliza shule walikwenda kujifunza kusoma na kuandika tu na sio kupata maarifa
 
Ingejulikana tu. Hakuna siri 2 duniani. Kitu gani serikali imewahi kufanya kimya watu wasijue?
 
Huna akili mtoa post wewe. Ni[emoji90][emoji90][emoji90]
 
Sio kwa mkataba wa kipumbavu kama huo wenye sura ya matope kabisa
 

"Ni Ma-far-ler ndiyo waliosaini mkataba wa kibwege na kijinga huku wakiwa na wasomi wao" - Lusekelo
 
Mfano kama waislam wao ndio wangefiwa na Kila Rais Mstaafu mwislam afe na Rais aliepo madarakani muislam. Nae afe wangeenda kuabudu mashetani, sembuse upumbavu wa bandari mkataba mbovu wa kuuzwa nchi hawaoni wamekuwa mazezeta kama .mende vichwa vyao.
 
Wewe ni mbwaaa
 
Wewe ni mjinga
 
Akili yako inakuambia ni wao walioweka wazi mkataba huu?
 
Huna akili, pumbavu, mikataba muhim kama wa bandari lazima usisha wenye nchi
 
Wajukuu wa Chief Mangungo bwana, bado tu mnaendeleza tabia ya babu yenu.........zama zimebalika watu tunataka kujua Haki zetu
 
Na mkataba wa gesi magufuli alisemaje?
 
Wewe ni mjinga au umehongwa
 
Hasara ya Usiri ndio zao la Kupigwa kwenye Madini na Mikataba yote na Malipo tunayolipa mpaka kesho kwa kuvunja mikata ya kinyonyaji...

Sio huu tu Rai yangu ni mikataba yote iwe wazi..., Haiwezekani mwenye mali (mwananchi) afichwe yaliyomo kwenye mustakabali wa mali zake (yaani afichwe na vijakazi wake pamoja na genge lao kwa mgongo wa usiri wa mikataba)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…