Serikali, mikataba ya DP World haikuwa na ulazima wowote kuitangaza. Msirudie hili kosa kabisa nchi yetu bado ni ya wapiga makelele…

Serikali, mikataba ya DP World haikuwa na ulazima wowote kuitangaza. Msirudie hili kosa kabisa nchi yetu bado ni ya wapiga makelele…

Mimi sioni sababu ya kila mkataba wa kimaendeleo au ubinafsiahaji kuuweka hadharani ,ninani anavujisha hii mikataba ? Sisi tuna watu wa hovyo wanaotafuta umaalufu kwa Kila kitu ..tusirudie kuleta taharuki ,kama hii dp world mngemaliza kimya kimya hakukuwa na sababu ya kuweka wazi ,hata sisi tusioelewa kitu tunavimba nao mitaani..dp world imekuwa ndio story ya kudanganya hata wake zetu majumbani ...watu wanaenda mbali na kudai nchi imeuzwa ,,mtu anaposema serikali imeuza nchi kwa Nini asikamatwe alete ushahidi wa nchi iliyouzwa?
Kwani haijauzwa? Pale Loliondo ni jimbo la UAE
 
Back
Top Bottom