GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Hivi GENTAMYCINE naandika huu Uzi napambana na Wakazi wa Mtaa kuutoa Mwili wa Mmoja wa Waumini wa Mtume Mwamposa aliyekuwa Mgonjwa, katotoka Ndugu zake huko Mkoani na kaja Kujiuguza ( kwa Kuishi ) katika Kibanda cha Mkaa Mtaa wa Ukwamani Kawe mita chache tu kutoka ulipo Msikiti maarufu wa kwa Londa.
Na hii ni mara ya Tatu sasa GENTAMYCINE nashuhudia Waumini Wagonjwa wa Mtume Mwamposa ambao Wengi wao huwa hawana mahala kwa Kulala Wakikata Moto Mazima ( Wakifa ) na kutupa Mzigo wa kutafuta Ndugu zao ili Wakazikwe.
Tafadhali Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan ( ambaye huwa unamuomba kimya kimya Mtume Mwamposa akuombee ) ili Upendwe na Ukubalike na tusiowataka DP World na Bandari zetu Kuuzwa hebu mlazimisheni haraka Mtume Mwamposa atafute Eneo hapa Kawe jirani na Tanganyika Packers aliko ajenge Hosteli na Wodi za Kuwaweka hawa Waumini Wagonjwa wake waliojazana Kawe.
Huku kushindwa kwa Mtume Mwamposa kujenga Hosteli za Kuwalaza Waumini wake ( hasa Mabinti na Wanawake ) wanaolala Mtini pale Uwanja wa Tanganyika Packers Kawe kumekuwa ni Suluhisho la Kudumu kwa Wanaume tunaopenda 'Mbunye Chap Chap Service' kwani kuanzia Saa 1 Usiku ukiingia mule ndani unaita tu Binti au Mwanamke umtakayw na kumpa ama Tsh 500/= au Tsh 1,000/= tu kisha unatafuta Kichaka cha Jirani unamalizana nae huku Minyoka iliyo pembeni yenu ikishuhudia.
Nina Rafiki yangu Mmoja ni Daktari Hospitali moja Jirani kasema walifanya Upimaji wa Jumla wa Madereva Dala Dala, Makondakta, Madereva Bodaboda na Bajaji wa Eneo jirani na kusema ambao hawajaathirika na HIV ( VVU ) wakibahatika sana watakuwa ni Wawili au Watatu tu.
Mtume Mwamposa kama kila Jumapili unapata Sadaka za Mazuzu kuanzia Tsh Milioni 80 hadi hata Tsh Milioni 100 unashindwa nini tu hata Kuzungumza na wenye Hostels na Guests za jirani na uwe unawalipa Tsh Milioni 1 kwa Wiki ili hawa Waumini wako uliowakataza Wasilale Kanisani Kwako ndani, ila Sadaka zao unazitaka kweli kweli na Unazikwangua bila Huruma waweze Kulala humo ila Kula na Kunya wajitegemee Wenyewe?
Serikali lifanyieni Kazi hili upesi.