Serikali mlazimisheni Mtume Mwamposa ajenge Hosteli na Wodi kwani Waumini wake Wanakufa mno Mitaani

Serikali mlazimisheni Mtume Mwamposa ajenge Hosteli na Wodi kwani Waumini wake Wanakufa mno Mitaani

Nakuunga mkono, nipo pale Kawe kwa kibiashara changu, nashuhudia unachosema, kwa hili nitazidi kuunga mkono kwa hoja zako. Big up! Mimi natamani huyu jamaa aondoke kwani anatupa sana shida ya usafiri jioni.
 
Sadaka ni nyingi kiasi gani cha kutosha kuhudumia wagonjwa wanaolala hapo? Wagonjwa wenyewe wamekata tamaa na matumaini ya kupona maradhi yao, wanaona bora wakafie kwa mwamposa
 
Hivi GENTAMYCINE naandika huu Uzi napambana na Wakazi wa Mtaa kuutoa Mwili wa Mmoja wa Waumini wa Mtume Mwamposa aliyekuwa Mgonjwa, katotoka Ndugu zake huko Mkoani na kaja Kujiuguza ( kwa Kuishi ) katika Kibanda cha Mkaa Mtaa wa Ukwamani Kawe mita chache tu kutoka ulipo Msikiti maarufu wa kwa Londa.

Na hii ni mara ya Tatu sasa GENTAMYCINE nashuhudia Waumini Wagonjwa wa Mtume Mwamposa ambao Wengi wao huwa hawana mahala kwa Kulala Wakikata Moto Mazima ( Wakifa ) na kutupa Mzigo wa kutafuta Ndugu zao ili Wakazikwe.

Tafadhali Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan ( ambaye huwa unamuomba kimya kimya Mtume Mwamposa akuombee ) ili Upendwe na Ukubalike na tusiowataka DP World na Bandari zetu Kuuzwa hebu mlazimisheni haraka Mtume Mwamposa atafute Eneo hapa Kawe jirani na Tanganyika Packers aliko ajenge Hosteli na Wodi za Kuwaweka hawa Waumini Wagonjwa wake waliojazana Kawe.

Huku kushindwa kwa Mtume Mwamposa kujenga Hosteli za Kuwalaza Waumini wake ( hasa Mabinti na Wanawake ) wanaolala Mtini pale Uwanja wa Tanganyika Packers Kawe kumekuwa ni Suluhisho la Kudumu kwa Wanaume tunaopenda 'Mbunye Chap Chap Service' kwani kuanzia Saa 1 Usiku ukiingia mule ndani unaita tu Binti au Mwanamke umtakayw na kumpa ama Tsh 500/= au Tsh 1,000/= tu kisha unatafuta Kichaka cha Jirani unamalizana nae huku Minyoka iliyo pembeni yenu ikishuhudia.

Nina Rafiki yangu Mmoja ni Daktari Hospitali moja Jirani kasema walifanya Upimaji wa Jumla wa Madereva Dala Dala, Makondakta, Madereva Bodaboda na Bajaji wa Eneo jirani na kusema ambao hawajaathirika na HIV ( VVU ) wakibahatika sana watakuwa ni Wawili au Watatu tu.

Mtume Mwamposa kama kila Jumapili unapata Sadaka za Mazuzu kuanzia Tsh Milioni 80 hadi hata Tsh Milioni 100 unashindwa nini tu hata Kuzungumza na wenye Hostels na Guests za jirani na uwe unawalipa Tsh Milioni 1 kwa Wiki ili hawa Waumini wako uliowakataza Wasilale Kanisani Kwako ndani, ila Sadaka zao unazitaka kweli kweli na Unazikwangua bila Huruma waweze Kulala humo ila Kula na Kunya wajitegemee Wenyewe?

Serikali lifanyieni Kazi hili upesi.
Acha wafe,wajinga wapungue maana hawajifunxi
 
😅😅😄 dah noma ngoja nitoke huku udoweni nije uko nije apo pakers na mm nipokee muujiza wangu kwa mtume bulldozer
Najiandaa nina Muumini Mmoja wa Mtume Mwamposa leo baada ya Ibada yake Maalum nataka Nikamkande kule Vichakani ( kama Nyoka Vifutu hawatakuwepo ) kama unaelekea kwa Kavishe ili niiokoe Hela yangu ya Guest Tsh 7,000/= inisaidie katika Kubeti niweze Kumla Mhindi ( Panjuani ) baadae.
 
Mmh umeandika uharoo mtupu

Mwanmke wa miatano unampata wapi acha kumuaribia mwposa biashara zake hunaga ishu za kufanya Kaz kumzagia kunguni mwamposa na Simba tu
Usiwe mbishi pale wanawake wengi wanaliwa had buree, mwanzoni nilikua nakataa, nilikuja kuamini siku nimeenda, yanayofanyika pale ni zaidi ya haya ya kuliwa kwa mia 5.
 
Nyakati nyingine huyu GENTAMYCINE anakuwaga na hoja za kweli na fikirishi Japo wakati anatiririka, hukoleza kidogo chumvi ili kuweka Mvuto kwenye Mada zake, sio mbaya kwani kila mtu ana aina yake ya Uandishi especially kama hujasomea fani ya Uandishi.

Kwa hili jambo/mada Tajwa hapo juu, vyombo husika, kwa Maana ya Regulators wa hizi taasisi za Dini, hazitakiwi kulifumbia Macho, isije ikawa too late yakatukuta yaliyowakuta Wenzetu kule Kenya.

Ni kweli usiopingika kuwa Mtume Mwamposa anahudumia waumini wengi wanaotoka Nje ya Mkoa wa Dar Es Salaam. Kwa kigezo cha kuja kuombewa kutokana na matatizo mbali mbali yanayowakabili hawa waumini, Je! sio sahihi kuwasaidia wale wasiokuwa na Makazi Permanent hapa Dar kama ilivyohuduma kubwa ya Scoan-Prophety T.B. Joshua Nchini Nigeria!?
Kitendo cha hao waumini kulala nje ya Kanisa au mitaani, sio sahihi. Najaribu kuwaza.

Kwa hii hoja ya Gentamycine, siwezi kuipinga, kwani Huduma zilizo nyingi zinafanya haya haya aliyoainisha hapa Mleta Mada.
Tusisubirie hadi yatufike Maji ya shingo.
Ni sahihi na wanafanya hivi kwa makusudi ili kama mgonjwa atafariki, afariki nje ya mikono yao na kukwepa vyombo vya dola.
 
Hakuna anaelazimishwa kwenda ,,,,Kila mtu anafanya kwa uhuru wake,,,,Hata hapo Muhimili kila saa Israel anapita na roho za watu
 
Usiwe mbishi pale wanawake wengi wanaliwa had buree, mwanzoni nilikua nakataa, nilikuja kuamini siku nimeenda, yanayofanyika pale ni zaidi ya haya ya kuliwa kwa mia 5.
Mwambie huyo Mpuuzi kuwa akiona GENTAMYCINE nimekuja na Taarifa hapa aipokee na aiamini kwa 100% kwani nimepikwa na kupikika kwa kupata Habari za Kawaida, Ngumu na za Hatari.

Na mwambie kwa Ushuhuda wangu kuwa kama kuna Mtu anawala ( anawatia ) tena bila Huruma na mara nyingi kwa Mali Kauli ( Ahadi Hewa ) ni Mimi na hata leo Usiku baada ya Tamasha kuna Mwingine naenda Kumtia ( Kumbatua ) Vichakani kwenye Mahandaki ya Asili.
 
Back
Top Bottom