Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie khaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Shaloooom shaloooooom mleteni mbele apa
😄😄Mm naelekea beach sa hivi kuvizia warembo kwanza nikigeuka hapo napita njia ya kwa mwamposa napo siwezi kukosa hata mademu wawili pale maana ndo sehemu zangu za kukamata warembo hizoNajiandaa nina Muumini Mmoja wa Mtume Mwamposa leo baada ya Ibada yake Maalum nataka Nikamkande kule Vichakani ( kama Nyoka Vifutu hawatakuwepo ) kama unaelekea kwa Kavishe ili niiokoe Hela yangu ya Guest Tsh 7,000/= inisaidie katika Kubeti niweze Kumla Mhindi ( Panjuani ) baadae.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli.Mwambie huyo Mpuuzi kuwa akiona GENTAMYCINE nimekuja na Taarifa hapa aipokee na aiamini kwa 100% kwani nimepikwa na kupikika kwa kupata Habari za Kawaida, Ngumu na za Hatari.
Na mwambie kwa Ushuhuda wangu kuwa kama kuna Mtu anawala ( anawatia ) tena bila Huruma na mara nyingi kwa Mali Kauli ( Ahadi Hewa ) ni Mimi na hata leo Usiku baada ya Tamasha kuna Mwingine naenda Kumtia ( Kumbatua ) Vichakani kwenye Mahandaki ya Asili.
Akiondoka hicho kibiashara chako kinakufaNakuunga mkono, nipo pale Kawe kwa kibiashara changu, nashuhudia unachosema, kwa hili nitazidi kuunga mkono kwa hoja zako. Big up! Mimi natamani huyu jamaa aondoke kwani anatupa sana shida ya usafiri jioni.
😄😅😄 tumefanyajeeNyie khaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nyie khaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Acha tuwakaze tu Mkuu hadi Wakome.😄😄Mm naelekea beach sa hivi kuvizia warembo kwanza nikigeuka hapo napita njia ya kwa mwamposa napo siwezi kukosa hata mademu wawili pale maana ndo sehemu zangu za kukamata warembo hizo
Anachanganya Uchawi wa Nigeria, Congo DR na Mozambique lazima awe ni HATARI sana mbele ya Mazuzu wengi alionao na wale anaoendelea tu Kuwaokota.Huyu dingi mganga wake mzuri aisee. Kakobe alipokuwa kwenye prime hakuweza fika levo za huyu bepari.