Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 13,538
- 21,664
Kavaa t-shirt imeandikwa " Fear Of God"kuna kazi nyingine hata kama zina maslahi mazuri kiasi gani sio za kufanya. Unaendesha kesi ya uongo ili mtu ahukumiwe kunyongwa hadi kufa?!!!! Ni uzwazwa wa hali ya juu sana kukubali kutumwa kazi na shetani. Wote walioanzisha na wanaoshiriki usheitwani huu wapatwe na la kuwapata. Na wote tuseme Amina.
Kuna kazi ukizifanya wewe na shetani lazima muwe kitu kimoja.Bwana mdogo huyu mzaliwa wa Kahama mjini, alikuwa na kiburi, jeuri,majivuno mahakamani, amekuwa akisoma mahairisho ya kesi kwa dharau mkubwa Ili amkomoe Lissu.
Mungu si Abdul Wala Mchengerwa, Watanzania wamejua familia yake,mke wake na watoto wake wa kike,
Hadi kwao kabisa Nyasubi-phantom-Kahama, pamefahamika.
Katuga amepokea vitisho Hadi amejiondoa kwenye mitandao ya kijamii,Kafuta post zote Instagram,na account yake kaweka private.
Kumbe waovu nao ni waoga aswaaa. Serikali mpeni ulinzi Katuga wa yeye binafsi, mke na watoto wake wa kike na wazazi wake uko Kahama-Shinyanga.
We are watching.
Umenidindisha sana.Kamwe basha hasusiwi makalio wakuu.
Haya mimi nipo hapa naangalia tu wananchi walivyoamua kususia vitu ambavyo havipaswi kususiwa.
Astakafirullah astakafirullah
Kasome kwanza lugha. Mahairisho ndio nini!Bwana mdogo huyu mzaliwa wa Kahama mjini, alikuwa na kiburi, jeuri,majivuno mahakamani, amekuwa akisoma mahairisho ya kesi kwa dharau mkubwa Ili amkomoe Lissu.
Mungu si Abdul Wala Mchengerwa, Watanzania wamejua familia yake,mke wake na watoto wake wa kike,
Hadi kwao kabisa Nyasubi-phantom-Kahama, pamefahamika.
Katuga amepokea vitisho Hadi amejiondoa kwenye mitandao ya kijamii,Kafuta post zote Instagram,na account yake kaweka private.
Kumbe waovu nao ni waoga aswaaa. Serikali mpeni ulinzi Katuga wa yeye binafsi, mke na watoto wake wa kike na wazazi wake uko Kahama-Shinyanga.
We are watching.
Apewe mimba TU huyuBwana mdogo huyu mzaliwa wa Kahama mjini, alikuwa na kiburi, jeuri,majivuno mahakamani, amekuwa akisoma mahairisho ya kesi kwa dharau mkubwa Ili amkomoe Lissu.
Mungu si Abdul Wala Mchengerwa, Watanzania wamejua familia yake,mke wake na watoto wake wa kike,
Hadi kwao kabisa Nyasubi-phantom-Kahama, pamefahamika.
Katuga amepokea vitisho Hadi amejiondoa kwenye mitandao ya kijamii,Kafuta post zote Instagram,na account yake kaweka private.
Kumbe waovu nao ni waoga aswaaa. Serikali mpeni ulinzi Katuga wa yeye binafsi, mke na watoto wake wa kike na wazazi wake uko Kahama-Shinyanga.
We are watching.
AMINAkuna kazi nyingine hata kama zina maslahi mazuri kiasi gani sio za kufanya. Unaendesha kesi ya uongo ili mtu ahukumiwe kunyongwa hadi kufa?!!!! Ni uzwazwa wa hali ya juu sana kukubali kutumwa kazi na shetani. Wote walioanzisha na wanaoshiriki usheitwani huu wapatwe na la kuwapata. Na wote tuseme Amina.
AjitambueHapana msimuonee!
Huyu jamaa ana roho mbaya kuliko hata Pharaoh na Pilato.Bwana mdogo huyu mzaliwa wa Kahama mjini, alikuwa na kiburi, jeuri,majivuno mahakamani, amekuwa akisoma mahairisho ya kesi kwa dharau mkubwa Ili amkomoe Lissu.
Mungu si Abdul Wala Mchengerwa, Watanzania wamejua familia yake,mke wake na watoto wake wa kike,
Hadi kwao kabisa Nyasubi-phantom-Kahama, pamefahamika.
Katuga amepokea vitisho Hadi amejiondoa kwenye mitandao ya kijamii,Kafuta post zote Instagram,na account yake kaweka private.
Kumbe waovu nao ni waoga aswaaa. Serikali mpeni ulinzi Katuga wa yeye binafsi, mke na watoto wake wa kike na wazazi wake uko Kahama-Shinyanga.
We are watching.
ETISo waliotumwa kumuua Mdude na kumpiga Lissu tukiwajua tuwaache maana walitumwa?
Sahihi kabisaKimahakama unaruhusiwa kujitoa kwenye kesi
AMINA.kuna kazi nyingine hata kama zina maslahi mazuri kiasi gani sio za kufanya. Unaendesha kesi ya uongo ili mtu ahukumiwe kunyongwa hadi kufa?!!!! Ni uzwazwa wa hali ya juu sana kukubali kutumwa kazi na shetani. Wote walioanzisha na wanaoshiriki usheitwani huu wapatwe na la kuwapata. Na wote tuseme Amina.
Viongozi waoga na wenye akili ndogo hutumia mabavu... kwasababu huwa hawawezi kukaa mioyoni mwa wananchi kwa utendaji wao ila kwa kulazimisha.Bwana mdogo huyu mzaliwa wa Kahama mjini, alikuwa na kiburi, jeuri,majivuno mahakamani, amekuwa akisoma mahairisho ya kesi kwa dharau mkubwa Ili amkomoe Lissu.
Mungu si Abdul Wala Mchengerwa, Watanzania wamejua familia yake,mke wake na watoto wake wa kike,
Hadi kwao kabisa Nyasubi-phantom-Kahama, pamefahamika.
Katuga amepokea vitisho Hadi amejiondoa kwenye mitandao ya kijamii,Kafuta post zote Instagram,na account yake kaweka private.
Kumbe waovu nao ni waoga aswaaa. Serikali mpeni ulinzi Katuga wa yeye binafsi, mke na watoto wake wa kike na wazazi wake uko Kahama-Shinyanga.
We are watching.
HAKIKAKatuga ana maadui hatari😁
Afu lioga hatariHuyu jamaa ana roho mbaya kuliko hata Pharaoh na Pilato.
Tena apewe na Luca MwashambwaApewe mimba TU tipwatipwa huyu