Serikali mpeni ulinzi wa kutosha Nassoro Katuga, sahivi amekimbia hadi social media zake

Status
Not open for further replies.
Katuga amepokea vitisho Hadi amejiondoa kwenye mitandao ya kijamii,Kafuta post zote Instagram,na account yake kaweka private.😂😂🤣
 
Kwa nn anapokuwa pale mahakamani asiombe kuvalishwa mask kama wale askari magereza?
 
Kwa hali hii lazima na si ombi, lazima mashahidi wa siri wawepo..
Na huyo mbwa lazima apigwe kitanzi
Yeye yupo tayari kupigwa kitanzi,kuanzia jana leo na hata kesho.Hahofii kwasababu kuna wenginecwalimlamba risasi kumi na sita,akachomoka sasa kitanzi akiogope kweli?
Sidhani.Jamaa ni jasiri sana.
 
JF ya miaka ile hadi namba ya nyumba, kiwanja, ikibidi na picha ya nyumba ingewekwa.

😎
Saa hizi ukute utaratibu wa kupigwa ban uzi huu unafanyika.Simu zjnaangaliwa kuona IMEPIGWA tufute au?
 
Halafu hili shetani limevaa t shirt imeandikwa fear of God.
 
Unamjua Israel wewe?
Ataondoka na roho yake na mtaachiwa mkilinda mwili.
Huyu hii kesi ni y mwisho kwake
 
Kwa hali hii lazima na si ombi, lazima mashahidi wa siri wawepo..
Na huyo mbwa lazima apigwe kitanzi
Nakuhakikishia utatangulia wewe! Subiri utakumbuka haya maneno. Dhuluma haiwezi kushinda haki. Na hao ''mashahidi'' wa bandia wote watakuja kujulikana. Unadhani kila mtu anapenda yanayofanywa na kibibi?
 
Nakuhakikishia utatangulia wewe! Subiri utakumbuka haya maneno. Dhuluma haiwezi kushinda haki. Na hao ''mashahidi'' wa bandia wote watakuja kujulikana. Unadhani kila mtu anapenda yanayofanywa na kibibi?
Tatizo ni kwamba kunakua na mgawanyiko,kuna ambao wanaona kabisa Lissu anaonewa na hawapendi ni ile tu wanapewa majukumu na wana familia za kulisha,hao ndo lazima wawafumbue hao mashahidi wa siri,kwani wanaompatiaga Lissu taarifa kua UNAWINDWA,si haohao?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…