Serikali mpeni ulinzi wa kutosha Nassoro Katuga, sahivi amekimbia hadi social media zake

Status
Not open for further replies.
Huyo jamaa anahatarisha ukoo wake mzima, na wanapojichanganya na jamii wanaonekana wote ni washiriki wa hila za huyo ndugu yao...angejua angeamua moja tu...hatuishi milele hapa duniani
 
Tenda Yale unayopenda kutengewa na wenzio!Anaogopa kivuli chake?!
 
Hatumuonei,hana Akili ya kujiongeza,ajifanye anaumwa,apelekwe mwingine!
 
Na wote tuseme Amina,Aminaa!
 
😄 mkuu taratibu bana

Ova
 
Hutu wanamuonea tu
Narudia nas ni mtu mmoja
Poa kabisa najuwa hii kesi
Imemyingiza kwenye chuki tu

Ova
 
Apate hasara kama sisi tulivyopata hasara kuanzia mwezi wa nne hadi sasa kwa kumweka Tundu Lissu ndani kwa kosa la uhaini ambalo halina ushahidi.
Japo yeye kajitoa kivyovyote vile na bilashaka aliulizia kwa waliompa jukumu kua atafaidikaje,akasmbiwa ndiyo akajitosa kumfanyia Lissu anayomfanyia,lakini kama na adhabu apewe yeye tu na siyo ndugu jamaa au marafiki zake.Hawa watu wanatumika unakuta hana namna kutokana na kiapo.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…