Serikali mpeni ulinzi wa kutosha Nassoro Katuga, sahivi amekimbia hadi social media zake

Status
Not open for further replies.
Maana yake automatically watu hawataruhusiwa kuwepo mahakamani maana maisha ya waendesha mashtaka yako hatarini.
 
Maana yake automatically watu hawataruhusiwa kuwepo mahakamani maana maisha ya waendesha mashtaka yako hatarini.
Yawezekana wale ambao iko wazi kabisa kua mteja amepewa kesi kwa uonevu wa wazi kabisa,au mkuu we unaona Lissu anaweza akapindua serikali?
Huoni amezuliwa ili kupunguza joto la uchaguzi?
 
amina mtu wa mungu!
 
Anaweza kukataa kama mambo yanaenda kinyume na taaluma yake. Hasa code of ethics.. akikubali kutumiwa hiyo ni juu yake kwa lolote lile.

Ndiyo maana imeahauriwa pia apewe ulinzi kwa kuwa anatekeleza mambo yasiyo na maadili
 
Mkuu kwanini umekuja na hitimisho kuwa anaendesha kesi ya uongo ikiwa bado hujasikiliza ushahidi utakaowasilishwa hapo mahakamani na wala hukumu haijatoka kuonesha kwa tuhuma ni za kweli ama la?
Kwakuwa jambo lipo mahakamani tuheshimu taratibu za kimahakama na tuache dhana za kutishia usalama wa wote walio katika mchakato huu kuhakikisha mbivu na mbichi zinafahamika
 
Hakuna haini mtu mmoja mkuu Toka Dunia iumbwe hata shetani alikuwa na vishetani ndio hao : Kinyamkela,jini pombe,jini mshamba,jini Fedha nk!
 
Hujiulizi kwanini hata mashahidi wanafuchwa ilhali kesi hiyo ina maslahi kwa umma?
Kwanini hao mashahidi wasiwe wazi ili hata wapongezwe kwa kusaidia kukamatwa mhaini ambaye katukosea sana sisi wananchi?
Unaamini Lissu ni mhaini,tumia tu Common sense.Just imagine ile kauli ya MPIX ya Makalla ingetolewa na MPINZANI wa kweli wa CCM, huoni angetiwa nguvuni?
Vipi kuhusu kauli za yule dogo wa UVCCM wa Kagera aliyewaambia polisi wasihangaike na wanaopotezwa,unadhani angekua Mahinyila ndo kasema vile angekua uraiani?
Tumia common sense tu,utajua aliyokia anayesema Rostam kuhusu mahakama zetu,ndicho kinachoshuhudiwa.MAELEKEZO.
 
Kweli umeenda mbali, angekuwa ni baba yake!
 
Ambao mnajua hadi familia yake fanyeni linalostahili kwa shetani kama huyu, ueni watoto wake ndiyo ataumia zaidi kuliko hata kumdhuru yeye mwenyewe.
Baba hauchukua mzigo wa mwanae,Wala mwana hatauchukua mzigo wa babaye!Kila roho itendayo Dhambi ndio itakayokufaa!
 
Yawezekana wale ambao iko wazi kabisa kua mteja amepewa kesi kwa uonevu wa wazi kabisa,au mkuu we unaona Lissu anaweza akapindua serikali?
Huoni amezuliwa ili kupunguza joto la uchaguzi?
Ndo ataseke gerezani,haipendezi na Wala si Haki!
 
Uko sahihi
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…