Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Mchezaji yeyote ndoto zake ni kucheza klabu kubwa na bora, hata angekuja Yanga bado angetamani kutimiza ndoto zake kucheza Simba SC.Usajili ni open market.
Kuna usajili wa matakwa ya timu. Upo Dunia nzima.
Kuna usajili wa kumkomoa mpinzani wako wa karibu. Huu upo Tanzania tu. Sometimes it works. It may backfire as well.
Ni soko huria. Kabla ya kusinya, mchezaji anaweza kuwa ameongea na timu hata kumi.
Una uhakika usajili wa kumkomoa mpinzani uko Tanzania pekee au umeandika ili mradi nawe uonekane umeandika?Usajili ni open market.
Kuna usajili wa matakwa ya timu. Upo Dunia nzima.
Kuna usajili wa kumkomoa mpinzani wako wa karibu. Huu upo Tanzania tu. Sometimes it works. It may backfire as well.
Ni soko huria. Kabla ya kusinya, mchezaji anaweza kuwa ameongea na timu hata kumi.
Unaandika ili mradi uonekane unabishana?Una uhakika usajili wa kumkomoa mpinzani uko Tanzania pekee au umeandika ili mradi nawe uonekane umeandika?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Vyura madimbwi yamekauka mnatapatapa