Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usajili ni open market.
Kuna usajili wa matakwa ya timu. Upo Dunia nzima.
Kuna usajili wa kumkomoa mpinzani wako wa karibu. Huu upo Tanzania tu. Sometimes it works. It may backfire as well.
Ni soko huria. Kabla ya kusinya, mchezaji anaweza kuwa ameongea na timu hata kumi.
PoleView attachment 1538397Hawa wawili wameniumiza sna moyo wangu. Sana....
1. Bernard Morrison
2. Larry Bwalya.
Nmeumizwa sana. Na Sisi ni bora kusajili kimya kimya why shouting? Nmeumia sana...haya ni mateso kwangu. Sijapona suala la Morrison leo tena naumizwa hivi.
La Morrison ni sawa. Lakini la Larry lazima ulikubali mchezaji akiwa sokoni lolote laweza kutokea.Hawa wawili wameniumiza sna moyo wangu. Sana....
1. Bernard Morrison
2. Larry Bwalya.
Nmeumizwa sana. Na Sisi ni bora kusajili kimya kimya why shouting? Nmeumia sana...haya ni mateso kwangu. Sijapona suala la Morrison leo tena naumizwa hivi.
La Morrison ni sawa. Lakini la Larry lazima ulikubali mchezaji akiwa sokoni lolote laweza kutokea.
Impact ya usajili ni hadi msimu uje kuisha.
Na kuna watu wanakutegemea kwenu au wanakutizama kama mfano wewe?Unaandika ili mradi uonekane unabishana?
Hasa kwenu. Wanakushangaa wewe.Na kuna watu wanakutegemea kwenu au wanakutizama kama mfano wewe?
Haya maneno aliyasema wapi ?
😁😁😁😁Hawa tunapiga spana mpaka mumtimue SENZO ndipo tutaacha kuvuruga mipango yenu UTO.
😁😁😁😁
Battle yetu ilikua bakari Nondo, tukawazibua.
Hao wengine mnajitekenya tu hakuna sehmu yyte Yanga ilisema inamtaka huyo Larry. Kama Ipo ilete hapa.
Tatizo lenu huwa mnasahau, kumbukeni kipindi kile mpo na Manji kuhusu Twite na Kessy mlikuwa na tabia ya kupora wachezaji leo mnapiga kelele1. Morrison
2. Larry Bwalya
3. Ibrahim Ami
Hawa wachezaji Simba imetupiga sana. Imetufanyia uhuni na kuumiza mioyo yeti. Larry tulishaenda mpaka kuongea naye. Jana ilikuwa ni kwenda kumchukua tu. Ndo Hersi kaenda anaambiwa hawa Mikia wameshamsainisha. Inaumiza sana.View attachment 1538887View attachment 1538888View attachment 1538894View attachment 1538896View attachment 1538897
Hizo zote ulizoweka hapo juu ni page za kidaku. Hata wamiliki wa hizo page hatuwafahamu mfano hiyo page iliyoquote maneno ya Eng Hersi nilikuuliza hayo maneno Hersi aliyasemea wapi radioni au kwenye runinga ??1. Morrison
2. Larry Bwalya
3. Ibrahim Ami
Hawa wachezaji Simba imetupiga sana. Imetufanyia uhuni na kuumiza mioyo yeti. Larry tulishaenda mpaka kuongea naye. Jana ilikuwa ni kwenda kumchukua tu. Ndo Hersi kaenda anaambiwa hawa Mikia wameshamsainisha. Inaumiza sana.View attachment 1538887View attachment 1538888View attachment 1538894View attachment 1538896View attachment 1538897
Hizo zote ulizoweka hapo juu ni page za kidaku. Hata wamiliki wa hizo page hatuwafahamu mfano hiyo page iliyoquote maneno ya Eng Hersi nilikuuliza hayo maneno Hersi aliyasemea wapi radioni au kwenye runinga ??
Nani alikwambia Hersi ameenda Zambia kumfuata Larry ? Ni yeye mwenyewe Hersi au page za kidaku!!
Kuhusu Ame sidhani kama Yanga walimuhitaji, si kila watakachopost page za kidaku ni cha kweli. Vilevile kwenye kumtaka mtu/kitu kuna makubaliano msipoafikiana mnatemana so akija mwengine kukichukia hiko kitu unaanzaje kusema amekupiga za uso ? Yani mfano tshishimbi akisaini Simba Leo hii utaicheka Yanga?.
Kuhusu Morrison si wamesema hawajardhika wanaenda mbele !! Hvyo basi wapenda soka tutulie tuone nini kitajiri.
Ushauri wa bure achana na vitu vinavyoumiza moyo wako. Utakufa mapema.Viongozi wanaamini sisi sote mabwege.kwa Morrison GSM WALIFANYA UHUNI KWA NINI HATUPENDI KUTUMIA AKILI TUNAWEKA USHABIKI? KWA TSHISHIMBI HUKUMBUKI WALISEMA AMESINYA? HUO UONGO UONGO TUNAO SANA.
AMI IBRAHIM Kachukuliwa hapo Ferry ameshuka toka Zanzibar mimi na viongozi wengine wawili tupo pale maana walitumia gari yangu.ili asionekane.Ami kadakwa na simba kapakizwa kwenye gari nduki.... Inaumiza ssna. Hersi anasafiri kumfuata bwalya Zambia wakati Bwalya yupo Dar. Inauma sana.
Umeingiza ngapi leo? Au umekula nini?Mtatamani Siku Ziku Zirudi Nyuma Ili Muombe Radhi Vulugu Mlizotufanyia Kwa Mbuyu Twite Na Yondani,
Maana Hizi Mashine
Kagere
Miquison
Morison
Bwalya
Zingekua Zipo Huko Utopolofour
Badara Yake Mnyama Anapindua Meza Kichokoraa
Dah! Raha Yatunyemelea Yakhe! Chungen Yacje Wakuta Kama Ya Mesi Natimu Yke
Umeingiza ngapi leo? Au umekula nini?