Serikali mpo wapi Wananchi tunanyanyaswa bila sababu? Yanga tumewakosea nini sisi?

Serikali mpo wapi Wananchi tunanyanyaswa bila sababu? Yanga tumewakosea nini sisi?

Kwani wewe kwa comment hii umeingiza ngapi leo?au umekula nini? Ili sasa mlinganishe. Ukitaka kila kitu upewe pesa utaolewa kizembe sana.... Kule Mombasa ungeingiziwa tu....si unataka pesa...unapewa tu....
We Tumia akili kidogo walau kwa size ya mbegu ya haradali.Hata kama unatumia masaburi.
Wapi nimetaja pesa? Acha kukariri.
 
Shida kubwa unatumia sehemu zote za wazi kutolea taka....hii ndo shida. Ungetumia sehemu maalumu peke yake...wewe sehemu zote unaingiza na kutoa taka. Umeingiziwa ngapi 😂😂😂😂

We Tumia akili kidogo walau kwa size ya mbegu ya haradali.Hata kama unatumia masaburi.
Wapi nimetaja pesa? Acha kukariri.
 
😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Siku nyingine ya maumivu makubwa kwangu.mi mwaka huu ntakufa tu kwa presha. Mikia mmekuwa wahuni na wakatili sana. Sijapata ona watu wakatili kama nyinyi.

Mmemchukua Morrison mmemchukua Bwalya.tumemtafuta sisi siku zote. Midfielder kisheti, mchezaji wa Chipolopolo. Sisi Yanga ndo kipindi chote tulimalizana naye, nyie wahuni akina Hanspope na Magori hamtaenda mbinguni hata iweje.

Nmeumia sana, sasa naacha kushabikia mpira ntakufa bure mimi.

Jamani mimi nmewakosea nini nyie viumbe. Mi nateseka week nyingine hii siwezi hata kula.

Team yangu inanyanyaswa kabisa. Naumia.

Kadi yako ya uanachama wa mikia ni namba ngapi vile???
 
Yanga isipokuwa makini ushindani wake na simba uwanjani itaisha kitakachobaki ni ushindani wa maneno ya mtandaoni aka UMBEA, simba inawekeza ktk soka yanga ya GSM inawekeza ktk janjasoka
Muda ndio utazungumza....na wewe kauli yako hii labda siyo ya mitandaoni..
 
Mtani Shadeeya huku wanalia na Simba anakula hadi mawindo ya vyura. Anaomba Mwakyembe aingilie kati. Ombeni poo mtani yaishe maana yajayo yanatisha, yanaweza kuwakuta ya Barca jana.
Mtani huyo 5imba mwenzio ujue nshamzoweaga mie.
 
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Siku nyingine ya maumivu makubwa kwangu.mi mwaka huu ntakufa tu kwa presha. Mikia mmekuwa wahuni na wakatili sana. Sijapata ona watu wakatili kama nyinyi.

Mmemchukua Morrison mmemchukua Bwalya.tumemtafuta sisi siku zote. Midfielder kisheti, mchezaji wa Chipolopolo. Sisi Yanga ndo kipindi chote tulimalizana naye, nyie wahuni akina Hanspope na Magori hamtaenda mbinguni hata iweje.

Nmeumia sana, sasa naacha kushabikia mpira ntakufa bure mimi.

Jamani mimi nmewakosea nini nyie viumbe. Mi nateseka week nyingine hii siwezi hata kula.

Team yangu inanyanyaswa kabisa. Naumia.

Halafu TFF walivyo na roho mbaya wameshapanga ratiba kabla hatumaliza kusajili na kocha bado hatujapata tunafungwa hata goli kumi safari ijayo tifuatifua wacheni dhambi
 
Back
Top Bottom