balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
We Tumia akili kidogo walau kwa size ya mbegu ya haradali.Hata kama unatumia masaburi.Kwani wewe kwa comment hii umeingiza ngapi leo?au umekula nini? Ili sasa mlinganishe. Ukitaka kila kitu upewe pesa utaolewa kizembe sana.... Kule Mombasa ungeingiziwa tu....si unataka pesa...unapewa tu....
We Tumia akili kidogo walau kwa size ya mbegu ya haradali.Hata kama unatumia masaburi.
Wapi nimetaja pesa? Acha kukariri.
Kadi yako ya uanachama wa mikia ni namba ngapi vile???πππππππππ Siku nyingine ya maumivu makubwa kwangu.mi mwaka huu ntakufa tu kwa presha. Mikia mmekuwa wahuni na wakatili sana. Sijapata ona watu wakatili kama nyinyi.
Mmemchukua Morrison mmemchukua Bwalya.tumemtafuta sisi siku zote. Midfielder kisheti, mchezaji wa Chipolopolo. Sisi Yanga ndo kipindi chote tulimalizana naye, nyie wahuni akina Hanspope na Magori hamtaenda mbinguni hata iweje.
Nmeumia sana, sasa naacha kushabikia mpira ntakufa bure mimi.
Jamani mimi nmewakosea nini nyie viumbe. Mi nateseka week nyingine hii siwezi hata kula.
Team yangu inanyanyaswa kabisa. Naumia.
Muda ndio utazungumza....na wewe kauli yako hii labda siyo ya mitandaoni..Yanga isipokuwa makini ushindani wake na simba uwanjani itaisha kitakachobaki ni ushindani wa maneno ya mtandaoni aka UMBEA, simba inawekeza ktk soka yanga ya GSM inawekeza ktk janjasoka
Halafu TFF walivyo na roho mbaya wameshapanga ratiba kabla hatumaliza kusajili na kocha bado hatujapata tunafungwa hata goli kumi safari ijayo tifuatifua wacheni dhambi[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Siku nyingine ya maumivu makubwa kwangu.mi mwaka huu ntakufa tu kwa presha. Mikia mmekuwa wahuni na wakatili sana. Sijapata ona watu wakatili kama nyinyi.