Serikali mpya ya Syria inajipanga kurejesha mahusiano na nchi za magharibi huku ikiipa Iran mkono wa kwaheri

Serikali mpya ya Syria inajipanga kurejesha mahusiano na nchi za magharibi huku ikiipa Iran mkono wa kwaheri

Nchi gani inaizidi Ufaransa hiyo unayoisema ipo hoi? Yaani Ufaransa ilikuwa inaitegemea hizo nchi masikini za Afrika magharibi? Umeniuzunisha sana kwa hoja tako hiyo.
Unajua ni maslahi kiasi gani aliyo kuwa anayapata hapo Africa Magharibi au una bwabwaja tu?
 
Kwani ni lini Syria iliwahi kukatisha mahusiano na nchi za Magharibi?

Nchi za Magharibi zenyewe ndo zilikata mahusiano na Syria baada ya vita kuanza.
Huyo Ufaransa mwenyewe yuko hoi baada ya kuporwa vibaraka wake wote Afrika Magharibi na Urusi.
Sasa mnatamani Syria isiwe na amani na utulivu. Inawauma sana Syria kuegemea magharibi.
 
Back
Top Bottom