Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua ni maslahi kiasi gani aliyo kuwa anayapata hapo Africa Magharibi au una bwabwaja tu?Nchi gani inaizidi Ufaransa hiyo unayoisema ipo hoi? Yaani Ufaransa ilikuwa inaitegemea hizo nchi masikini za Afrika magharibi? Umeniuzunisha sana kwa hoja tako hiyo.
Sasa mnatamani Syria isiwe na amani na utulivu. Inawauma sana Syria kuegemea magharibi.Kwani ni lini Syria iliwahi kukatisha mahusiano na nchi za Magharibi?
Nchi za Magharibi zenyewe ndo zilikata mahusiano na Syria baada ya vita kuanza.
Huyo Ufaransa mwenyewe yuko hoi baada ya kuporwa vibaraka wake wote Afrika Magharibi na Urusi.
Umia kimya kimya weweeUnajua ni maslahi kiasi gani aliyo kuwa anayapata hapo Africa Magharibi au una bwabwaja tu?
Wanaenda kwa makafiriDah nafuu waachane na ugaidi maana Iran aliwafundisha mchezo mchafu
iran?Dah nafuu waachane na ugaidi maana Iran aliwafundisha mchezo mchafu
kumbe?Hadi dakika ya 108 Israel 10 - 0 Iran.
Wamepona nWanaenda kwa makafiri
Ndiyo mashia makafiri kabisairan?