Serikali mshugulikieni kabendera akione Cha moto Ili iwe fundisho Kwa watu wanaotafuta kiki

Nadhani angeleta uthibitisho wa picha ya tukio tungemuamini lakini maandishi tunamuona tapeli inabidi ashugulikiwe
Mkuu wewe unayepinga ndiye unayepaswa kuleta hiyo picha kuonesha kuwa kuwa yeye kadanganya.

Ukiona vipi kuliko kubwabwaja huku mfungulie mashtaka mahakamani.
 
Watu hawatakiwi kuendeshwa na hisia ndio maana kuna mahakama na wanasheria..
Nchi inafaa iongozwe na sheria sio hisia
Sasa imagine kiumbe kama mleta uzi ashike madaraka hata ya mtendaji wa kata tu, huo moto wake wananchi watakoma.

Na ndio viongozi wengi Tz wako namna hii, hawafati sheria bali hisia.
 
Mkuu kama unaamini kaongopa tuwekee hapa ukweli unaoujua, punguza mihemuko weka hapa ukweli wako tuende sawa.
Wewe ndio unamihemko nithibitishie huo ukweli kwamba saa nane ameuwawa sio porojo
 
Mkuu wewe unayepinga ndiye unayepaswa kuleta hiyo picha kuonesha kuwa kuwa yeye kadanganya.

Ukiona vipi kuliko kubwabwaja huku mfungulie mashtaka mahakamani.
Hivi unaejielewa kweli yeye alieleta Hilo swala ndio anapaswa alete picha sio kutuandikia maandishi hata Mimi naweza kuamka na kuandika
 
Mkuu kama unajua yupo si utoe ushahidi kuwa yupo!! Pili, hujalazimishwa kununua hiko kitabu au kuzuia kuandika cha kwako au kufungua mashtaka.
Wewe unaesema kafa tuthibitishie Kwa picha sio porojo za maandishi
 
We mjinga fanya kazi naona inakuuma kutumbuliwa
 
Muda ndo utamshughulikia hata Lisu alijiona mjanja sana kutumika na vibaraka kumchafua JPM lakini laana inamtafuna na Sasa anashughulikiwa yeye tena baadhi ya wale waliomtuma sijajua na mabeberu wakimtumpa itakuaje
Lissu anateseka Magufuli akiwa wapi??
 
Hivi unaejielewa kweli yeye alieleta Hilo swala ndio anapaswa alete picha sio kutuandikia maandishi hata Mimi naweza kuamka na kuandika
Mkuu kama unaweza kuandika si uandike, unashindwa nini??? Kakuzuia nani???
 
Mkuu kama unaweza kuandika si uandike, unashindwa nini??? Kakuzuia nani???
Wewe mbona umerukia kuja kucomenti kwenye Uzi wangu kwani umeuandika wewe kama wewe unavyonipinga hapa kwenye Uzi ambao nimeandika Mimi basi na Mimi nampinga huyo tapeli kabendera
 
Why mnapenda kukimbilia kutumia nguvu badala ya akili!yy kaandika kitabu!ww thibitisha kwa kutuletea Ben saa nane
πŸŒ€οΈπŸ™‹β€β™‚οΈβœοΈπŸ‘πŸ™
 
Yeye ni mwandishi.. Acha aongee. Wananchi wenyewe tuchambue mbivu ni ipi na mbichi ni ipi. Unaweweseka??
 
Tuache muda uongee kama ilivyo kwa chadema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…