ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
- #21
Ndio mbona wamefunga?Unadhani ni rahisi kufunga duka ulilolipia frem, lenye mzigo pengine wa mkopo ndani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio mbona wamefunga?Unadhani ni rahisi kufunga duka ulilolipia frem, lenye mzigo pengine wa mkopo ndani?
Na kingine mkuu nataka kuskia maoni yako, hivi yale mabilioni ambayo kila mwaka CAG anadai yamepotelea hewani na serikali haiwajibi unahc n haki? Na unashauri wananchi tufanyaje? Maana zile pesa ni kodi zetu, just imagine wanakomaa kukusanya kodi halafu kwenye mahesbu utaskia kias flan kimepotelea hewan, unahc wananch wanajiskiaje?Wacha kujaa gesi,Kodi utalipa na huna Cha kufanya na mwisho wa siku utafungua duka Kwa sababu za njaa zako
Wafanyabiashara ni mawakala wa kodi unasemaje hawakuheshimu? Trilion zinazokusanywa na kuvunja rekodi kila unadhani zimepitia njia gani?Wao mbona hawatuheshimu?
Yesu wangu duh 🐼Kuna hojagani hapa mkunduwako, hoja ya anaelishwa na kuvishwa na dada yake? .kumahwewe. maiti uliechangamka wewe.
Mimi na nyie Huwa tunashindana kwenye logic.Na kingine mkuu nataka kuskia maoni yako, hivi yale mabilioni ambayo kila mwaka CAG anadai yamepotelea hewani na serikali haiwajibi unahc n haki? Na unashauri wananchi tufanyaje? Maana zile pesa ni kodi zetu, just imagine wanakomaa kukusanya kodi halafu kwenye mahesbu utaskia kias flan kimepotelea hewan, unahc wananch wanajiskiaje?
Mawinga watapumua sasadah, wamelegeza siyo
Kwanza naelipa Kodi ni Mimi sio wao,wao ni mawakala wanachukua hela yangu na hawafikishi Serikalini.Wafanyabiashara ni mawakala wa kodi unasemaje hawakuheshimu? Trilion zinazokusanywa na kuvunja rekodi kila unadhani zimepitia njia gani?
Nataka uvae viatu vya mtu anayeamua kwamba afunge biashara aliyolipia frem na mzigo upo ndani pengine wa mkopo, mzigo ambao pengine ni fashion ukizubaa unakudodea, mzigo ambao pengine unaexpire. Kwanini mtu aamue maamuzi magumu hivyo?Ndio mbona wamefunga?
Nitoe wito Kwa Viongozi wa Serikali wasihamgaike na hao wafanyabiashara wanaotumika Kisiasa.
Wacheni wafunge biashara Kwa sababu njaa itawarudisha sokoni bila hata Nguvu.
Huwezi ukajua na madai ya kipuuzi na yasiyo na msingi.Madai Yao ni Kodi ambazo zimekuwepo Toka enzi ya Mkapa alipoleta VAT na service levy Sasa Leo hii ushindani umeongezeka wanataka kuifanya Serikali kana kwamba imeleta pendekekezo jipya wakati hizo ni Kodi za miaka yote.
Serikali isije ingia kwenye mtego wa kuburuzwa na wafanyabiashara,tujifuka hapo watapanga na kuamua nani awe Kiongozi na kuhatatisha maisha ya watu wa chini.
View: https://twitter.com/MwananchiNews/status/1806231274631147731?t=xe57O4fA2GeN03a1CLlBWg&s=19
My Take
Nchi hii ni ya kijamaa,kamwe wafanyabiashara hawatakuja kuiweka Serikali mfukoni.
Naomba Serikali iache kuwachekea hao watu wanakwepa Kodi na wanapanda mbegu mbaya za vurugu wakichochewa na Hawa hapa 👇👇
View: https://twitter.com/ChademaTz/status/1806069527270289757?t=ltZHDbuyhUFKlSM1eRwbuA&s=19
Wana madai yao wasikilizwe bila wao serikali haipati kodiWalioanzisha mgomo wanataka nini zaidi ya Fujo? Serikali iwaache tuu tuone mwisho wa siku itakuaje ,njaa itawarudisha sokoni
Serikali imefeli kuendesha mashirika yote ya umma wakati wa ujamaa. Niambie hata shirika moja lililokuwa na afadhali.
Mpaka leo ATCL, TTCL, etc zinasuasua sababu ya ujuaji wa watu kama nyinyi, ambao hamuelwi lolote kuhusu biashara, na bado ndio mko mbele kutoa ushauri.
Hivi kwanini mwendokasi imekuwa hoi bin taabani? Kizazi hiki cha kudhani kuwa mfanyakazi wa serikali na taasisi zake ni kuwa prevelaged lazima kiangukie pua.
Dunia inakwenda kasi kuliko wao wanavyokwenda na kamwe hawataweza kuisimamisha dunia ili iwasubiri. It will be a loss to all of us.
Kwa wale wajuaji sana, wasiotaka kujipa muda wa kufikiri na kuelewa, wala sio wa kwanza. Dunia imesheni mifano kadhaa ya watu wa aina hiyo na wapi waliishia.
Mfano mmoja ni huu
View: https://www.youtube.com/watch?v=gNGT8YSVNdw
Nataka uvae viatu vya mtu anayeamua kwamba afunge biashara aliyolipia frem na mzigo upo ndani pengine wa mkopo, mzigo ambao pengine ni fashion ukizubaa unakudodea, mzigo ambao pengine unaexpire. Kwanini mtu aamue maamuzi magumu hivyo?
Kuna siku walikuwa hawasikilizwi? Mbona wanatumia Nguvu ? Wana umoja wao Wana chember zao why kutumia Nguvu? Mfanyabiashara na Serikali nani ana Nguvu?Wana madai yao wasikilizwe bila wao serikali haipati kodi
Kuna mahala Serikali imekataa ?Hawa waliosema fani ya kusifia viongozi ili wale huwa wanaishia viongozi wakiishia. They dont live long to see the other side of this struggle which is beneficial to all of us
Nitoe wito Kwa Viongozi wa Serikali wasihamgaike na hao wafanyabiashara wanaotumika Kisiasa.
Wacheni wafunge biashara Kwa sababu njaa itawarudisha sokoni bila hata Nguvu.
Huwezi ukajua na madai ya kipuuzi na yasiyo na msingi.Madai Yao ni Kodi ambazo zimekuwepo Toka enzi ya Mkapa alipoleta VAT na service levy Sasa Leo hii ushindani umeongezeka wanataka kuifanya Serikali kana kwamba imeleta pendekekezo jipya wakati hizo ni Kodi za miaka yote.
Serikali isije ingia kwenye mtego wa kuburuzwa na wafanyabiashara,tujifuka hapo watapanga na kuamua nani awe Kiongozi na kuhatatisha maisha ya watu wa chini.
View: https://twitter.com/MwananchiNews/status/1806231274631147731?t=xe57O4fA2GeN03a1CLlBWg&s=19
My Take
Nchi hii ni ya kijamaa,kamwe wafanyabiashara hawatakuja kuiweka Serikali mfukoni.
Naomba Serikali iache kuwachekea hao watu wanakwepa Kodi na wanapanda mbegu mbaya za vurugu wakichochewa na Hawa hapa 👇👇
View: https://twitter.com/ChademaTz/status/1806069527270289757?t=ltZHDbuyhUFKlSM1eRwbuA&s=19
Wasingekuwa na madai wasingegoma.Serikali haisikiii bila kugongwa kichwaniKuna siku walikuwa hawasikilizwi? Mbona wanatumia Nguvu ? Wana umoja wao Wana chember zao why kutumia Nguvu? Mfanyabiashara na Serikali nani ana Nguvu?
Mwisho Nchi haitegemei Kodi Kwa wafanyabiashara pekee hasa Hawa wachuuzi Wanaogoma.
Wajinga ni wewe mnaewachochea hao wasiojielewa 😂😂Ruto alidanganywa na watu wajinga kama wewe
Kwa hiyo nini hoja Yako? Madai ya Wafanyabiashara hayatekelezeki na hayawezekani maana hamuwezi ipangia Serikali