Serikali msihangaike na madai ya wafanyabiashara ambayo hayatekelezeki. Njaa itawarudisha sokoni

Kuna arrogance katika namna ya kusikiliza na kutatua vikwazo vya wafanyabiashara. Kuna tabia mbaya ya kuona wafanyabishara wote ni wezi na watu wanaojaribu kukwepa kodi.
Tusidanganyane hapa..serikali inahitaji private sector imara ili wakusanye kodi. Ubabe unapoteza sana kwa wote, wafanyabiashara na hata serikali maana mapato yanapungua.
Sio kila kitu kinachodaiwa lazima kitekelezwe. Ila kuendelea kuwadharau kama unavyoandika hapa ni kujidanganya. Muulizie Mwigulu atakueleza vizuri. Mnalipanaje mishahara sasa?
Nani anafanya arrogance? Kwani lazima Serikali ifanye unachotaka wewe? Itakuwa ni Nchi au kioja?
 
Hawa waliosema fani ya kusifia viongozi ili wale huwa wanaishia viongozi wakiishia. They dont live long to see the other side of this struggle which is beneficial to all of us
Na ukihoji inawezekana vipi wanasiasa wana ukwasi usioakisi uhalisia wa mshahara jibu ni hawategemei siasa wana biashara zao.
 
Nitoe wito Kwa Viongozi wa Serikali wasihamgaike na hao wafanyabiashara wanaotumika Kisiasa.

Wacheni wafunge biashara Kwa sababu njaa itawarudisha sokoni bila hata Nguvu.

Huwezi ukajua na madai ya kipuuzi na yasiyo na msingi.Madai Yao ni Kodi ambazo zimekuwepo Toka enzi ya Mkapa alipoleta VAT na service levy Sasa Leo hii ushindani umeongezeka wanataka kuifanya Serikali kana kwamba imeleta pendekekezo jipya wakati hizo ni Kodi za miaka yote.

Serikali isije ingia kwenye mtego wa kuburuzwa na wafanyabiashara,tujifuka hapo watapanga na kuamua nani awe Kiongozi na kuhatatisha maisha ya watu wa chini.👇👇

View: https://www.instagram.com/p/C8tpL3liGNy/?igsh=Mm9icHRtMHZpZjJ1

View: https://twitter.com/MwananchiNews/status/1806231274631147731?t=xe57O4fA2GeN03a1CLlBWg&s=19

My Take
Nchi hii ni ya kijamaa,kamwe wafanyabiashara hawatakuja kuiweka Serikali mfukoni.

Naomba Serikali iache kuwachekea hao watu wanakwepa Kodi na wanapanda mbegu mbaya za vurugu wakichochewa na Hawa hapa 👇👇

View: https://twitter.com/ChademaTz/status/1806069527270289757?t=ltZHDbuyhUFKlSM1eRwbuA&s=19

Kama wewe ndie uliewapa mitaji Basi watarudi sokoni
 
Na ukihoji inawezekana vipi wanasiasa wana ukwasi usioakisi uhalisia wa mshahara jibu ni hawategemei siasa wana biashara zao.
Kwanza wafanyabiashara ndionawahonga Wanasiasa Ili msilipe Kodi ,Sasa wakichukua Kwa watu kadhaa wataacha kuwa na ukwasi? Lipeni Kodi acheni janja janja
 
kazi kulamba viatu kwa kusifia mitandaoni huku wenzio sasahivi wanapanda LC 300 wanaenda lunch, akili kama hizi za washinda njaa ndo zinafanya vijana wa hii nchi tuonekane hamnazo
 
Hawaj
Nitoe wito Kwa Viongozi wa Serikali wasihamgaike na hao wafanyabiashara wanaotumika Kisiasa.

Wacheni wafunge biashara Kwa sababu njaa itawarudisha sokoni bila hata Nguvu.

Huwezi ukajua na madai ya kipuuzi na yasiyo na msingi.Madai Yao ni Kodi ambazo zimekuwepo Toka enzi ya Mkapa alipoleta VAT na service levy Sasa Leo hii ushindani umeongezeka wanataka kuifanya Serikali kana kwamba imeleta pendekekezo jipya wakati hizo ni Kodi za miaka yote.

Serikali isije ingia kwenye mtego wa kuburuzwa na wafanyabiashara,tujifuka hapo watapanga na kuamua nani awe Kiongozi na kuhatatisha maisha ya watu wa chini.👇👇

View: https://www.instagram.com/p/C8tpL3liGNy/?igsh=Mm9icHRtMHZpZjJ1

View: https://twitter.com/MwananchiNews/status/1806231274631147731?t=xe57O4fA2GeN03a1CLlBWg&s=19

My Take
Nchi hii ni ya kijamaa,kamwe wafanyabiashara hawatakuja kuiweka Serikali mfukoni.

Naomba Serikali iache kuwachekea hao watu wanakwepa Kodi na wanapanda mbegu mbaya za vurugu wakichochewa na Hawa hapa 👇👇

View: https://twitter.com/ChademaTz/status/1806069527270289757?t=ltZHDbuyhUFKlSM1eRwbuA&s=19

Hawajakataa kulopa kodi,bali kodi zipungue,wewe jiulize sukari na diesel zina bei kubwa kuliko Zambia,Rwanda na Malawi?
 
Kwanza wafanyabiashara ndionawahonga Wanasiasa Ili msilipe Kodi ,Sasa wakichukua Kwa watu kadhaa wataacha kuwa na ukwasi? Lipeni Kodi acheni janja janja
Kodi kama hailipwi huku kuvunja rekodi kunapotangazwa kunatokana na nini?
 
Kwa idadi yetu inatakiwa Kodi iwe walau 30% ya GDP Sasa tuko chini ya 20% Kwa sababu ya ukwepaji Kodi.
 
Hiyo chini ya 20% inalipwa na kina nani?, mishahara ya private sector inatoka kwenye faida yao na ndipo mnapata kodi ya mishahara private sector, Faida za mabank kupitia Riba zinatoka kwenye faida yao na ndipo mnapopata kodi za mabank, Mtumishi mfano wa TRA ana offer nini? Embu tazama nafasi yao katika uhalisia utawaheshimu.
 
Back
Top Bottom