Serikali msihangaike na madai ya wafanyabiashara ambayo hayatekelezeki. Njaa itawarudisha sokoni

Kwa hiyo unagoma kumkomoa nani?
 
Wafungue maduka lakini hakuna kulipa kodi, TRA wakija kimbiza na fimbo, pia hakuna cha kutumia EFD machine, na wawe na umoja.
 
Kwa hiyo unagoma kumkomoa nani?
Ndo maana nimekuuliza unadhani kufunga duka likiwa na mzigo wenye mkopo ni rahisi? Ukitambua nafasi ya wafanyabiashara kwenye uchumi na mzigo wanaoubeba hutafikiri mambo ya kukomoana utayaona mambo katika uhalisia.
 
Ndo maana nimekuuliza unadhani kufunga duka likiwa na mzigo wenye mkopo ni rahisi? Ukitambua nafasi ya wafanyabiashara kwenye uchumi na mzigo wanaoubeba hutafikiri mambo ya kukomoana utayaona mambo katika uhalisia.
Mazungumzo yachukue mkondo wake ,ukigoma unaachwa ugome.njaa itakurudisha sokoni
 
Kakupiga radi akijua kuna Ban na hajajali sababu matamshi yako yanapandisha hasira kwa mtu anayehisika moja kwa moja na biashara.
Sasa weww tangu lini matusi ya mjinga yakabadili maturity ya mtu makini kama Mimi?
 
🀣🀣🀣
 
Na Mimi nimesema Waendelee kufungua na Serikali isiwabugudhi njaa itawarudisha sokoni ,si unaona wanarudi wenyewe kwani wamelazimishwa? Serikali imetekwlwza waliyotaka?
 
Tatizo wa Tz janja janja nyingi sn. Hawa wafanyabiashara wanaokataa kufungua maduka wana hoja, ila ukweli wengi wao ni janja janja nyingi sana. Hawatoi risti na ukidai anakuambia acha bidhaa au anakuambia wewe chukua uende. Hata ukilazimisha hakupi na kibaya zaidi akishapewa pesa harudishi, atasisitiza tu uondoke pengine atasema machine mbovu. Wanakaraa nyingi sn.

Issue ni moja tu, km ilivyobandalini ukiagiza gari jiandae na kodi lukuki tena nusu au mara mbili ya bei ya gari. Sasa ni wewe kuamua kuagiza hilo gari au uache. Na ukiacha wenye pesa wanaendelea kununua. Hivyo hivyo km mfanyabiashara anaona hapati faida sababu ya kodi aache afanye kitu kingine ili wanaoweza kuendana na kadhia za kodi waendelea. Narudia wana hoja ila isiwe km wanashinikiza badala ya kushauriana na serikali.
 
Nani anafanya arrogance? Kwani lazima Serikali ifanye unachotaka wewe? Itakuwa ni Nchi au kioja?
Haaahaaaa...wewe kama ni muajiriwa wa serikali au mpambe wa walioko leo serikalini, sio serikali. Serikali ina maslahi ya watanzania wote.
Acha kutunisha misuli kama vile uko kwa mkeo au watoto wako. Serikali ina namna yake ya kufanya kazi. Hata kama leo hii unaondoka hapo ulipo, hakuna lityakalo simama. Acha maslahi mapana ya watanzania yathaminiwe na kuendelezwa.
Nilichojifunza kwenye maisha ni kuwa losers are just losers. Kuna wakati wanajitutumua na kujipa hadhi ambayo kamwe hawata kuwa nayo
 
Wewe ni mpuuzi mwingine umeshawahi kuuza hata karanga kweli wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…