Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Mimi binafsi kila jambo nalipa nafasi yake, sehemu yake na muda wake. Sio mjinga kwamba jambo B linaweza kunisahaulisha jambo A.
Wewe ukinitukana leo halafu kesho unipe elfu 10 ya chai ninaweza kuipokea lakini haitanitoa kwenye case ya matusi uliyonitukana jana.
Serikali bado tunasubiri majibu.
Ally Kibao alitekwa mchana baada ya basi lenye abiria takribani 60 kuzuiwa na watu wenye mitutu ya kivita na magari ya gharama (land cruisers) . Tukio lilitukia mchana.
Je, nchi hii kuna kikosi cha jeshi kilichoasi na kilichokomaa mpaka kuweza kumiliki magari ya kijeshi?
Bunduki wamepora majeshi yetu au wametoka nazo nje ya Tanzania?
Tunataka majibu please.
Muwakamate hao magaidi wapelekwe Mahakamani wahukumiwe kifo na wanyongwe , zoezi la kuwanyonga lirushwe live kwenye television ya Taifa.
Mkishindwa kuwapata magaidi watekaji msilete maigizo ya aina yoyote.