Serikali msitutoe kwenye reli kwa hukumu ya kifungo cha maisha kwa maafande wahuni, bado tunawaza utekaji wa kutumia silaha za kivita mchana

Mimi binafsi kila jambo nalipa nafasi yake, sehemu yake na muda wake. Sio mjinga kwamba jambo B linaweza kunisahaulisha jambo A.
Wewe ukinitukana leo halafu kesho unipe elfu 10 ya chai ninaweza kuipokea lakini haitanitoa kwenye case ya matusi uliyonitukana jana.
Serikali bado tunasubiri majibu.
Ally Kibao alitekwa mchana baada ya basi lenye abiria takribani 60 kuzuiwa na watu wenye mitutu ya kivita na magari ya gharama (land cruisers) . Tukio lilitukia mchana.
Je, nchi hii kuna kikosi cha jeshi kilichoasi na kilichokomaa mpaka kuweza kumiliki magari ya kijeshi?
Bunduki wamepora majeshi yetu au wametoka nazo nje ya Tanzania?
Tunataka majibu please.
Muwakamate hao magaidi wapelekwe Mahakamani wahukumiwe kifo na wanyongwe , zoezi la kuwanyonga lirushwe live kwenye television ya Taifa.
Mkishindwa kuwapata magaidi watekaji msilete maigizo ya aina yoyote.
Kwa hiyo ulitaka wawafanyeje mkuu?
 
SASA ULITAKA WASIHUKUMIWE TENA USEME MENGINE?
 
ni kweli hii inaonesha mahakama zetu zina uwezo wa kusikiliza kesi na hukumu fasta tu kumbuka mahakama haindeshi kesi bali inasikiliza na kufanya uamuzi..shida kubwa ipo kwa waendesha mashtaka jamhuri hawa ndio wenye kesi na mashahidi hawa wakiwa shapu kuimaliza kesi mbona mahakama utaipenda hadi raha ila hizo mambo kusota segerea miaka 6 kisa upelelezi haujakamilika ni kukomoana tu na kufanyiana roho mbaya.!
Kesi ya COVID 19 VS CHADEMA inahitaji upelelezi gani? mpelekezi ana ahirisha kesi na kupanga tarehe? ni mahakama za hovyo sn zinaendeshwa kwa hisia
 
Back
Top Bottom