Serikali mtakapotoa ajira za kada za elimu na afya ambazo wahusika Huwa hawafanyiwi usaili basi muwachukue wale waliomaliza miaka ya nyuma

Serikali mtakapotoa ajira za kada za elimu na afya ambazo wahusika Huwa hawafanyiwi usaili basi muwachukue wale waliomaliza miaka ya nyuma

Wakusoma 12

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2017
Posts
4,035
Reaction score
11,462
Inaendelea kutoka kwenye heading.....

Tofauti na hapo mnakuja kuleta maada. Haiwezekani Hawa vijana wamemaliza chuo fani moja mfano mwalimu wa masomo ya Chemistry na biology ama history na literature amemaliza 2016 lakini hamjamuajiri unakuja kumuajiri mwalimu wa masomo hayo hayo aliyehitimu chuo mwaka 2021 je Kuna usawa hapo?

Hamtaki wekeni utaratibu wa usaili ili wakapambane kwenye jopo kama fani za kada zingine. Lazima Sasa tuelezane ukweli mambo ya kuonea vijana wetu hatuwezi kuyavumilia.

Toa ajira kwa mazingira yaliyo sawa na yenye uwazi acheni kuwapa msongo vijana wetu.
 
Mkuu hatuwezi kuishi bila utaratibu
Ni kweli, ila ndiyo hivyo tena. Zama zimebadilika. Dunia ya sasa haiangalii tena uwezo wa mtu! Isipokuwa kinachoangaliwa, ni unafahamiana na nani!
 
Back
Top Bottom