Serikali mulikeni haya matumizi ya energy drink!

Serikali mulikeni haya matumizi ya energy drink!

Kama kuna tahadhari ipo kwenye chupa, ni ujinga wa watumiaji. Hata sigara kwenye paketi imeandikwa onyo na bado watu wanatumia. Kwasababu onyo lipo na watumiaji hawasomi, serikali ilishafanya kazi yake ya kuwaamlisha waweke maelezo ya athari zake.
 
Mkuu hivi vidude vinakufanya unakua addicted navyo. Mimi mwenyewe ni mhanga hapa napambana na uraibu wa kuacha kuvitumia. Nilianza kimasihara nikawa navitumia viniboost nisilale nikaishia kuwa navitumia hata mchana, leo siku ya tatu sijavitumia maana nimedhamiRia kuacha kabIsa maana Kuna effects naziona kwenye afya yangu
Effect zip hizo mkuu unaziona, zilianza kujitokeza baada ya muda gani since umeanza matumizi?
 
Huu misamiati 'imelikwe' utamukika kizwazwa products inatumika sana imulikwe WTF is this.
 
Na hapo wamepunguza mils zake, mwanzo makopo yalikuwa makubwa!! Ila Energy drink hazifai kwa matumizi, zile ziwe zinatumika kama dawa tena mara chache labda una uchovu hapo ndio ugonge ila watu wanagonga kama wanavyokunywa soda au maji.
 
Embu fikiria tu sigara imeandikwa kabisa madhara yake. Lakini watu wanaendelea kuvuta na Watanzania wengi ni wapuuziaji wa mambo kwajiyo hata serikali ifanye vipi lakini hivyo vidude watu wataendelea kunywa tu. Na huenda vikapanda na bei.
 
Effect zip hizo mkuu unaziona, zilianza kujitokeza baada ya muda gani since umeanza matumizi???
Nachoka ovyo, natoka jasho sana, muda mwngne mapigo ya Moto kwenda mbio. Kuna hisia flani inakuwa nayo mwili hauko sawa. Nikiacha baada ya muda inakuwa sawa. Nataka niflash mwili nione nitakuwaje.
 
Nilikaa sehemu nikamshuhudia mtu kapiga Bia moja, akaagiza supu, baada ya supu akaagiza konyagi ndogo na Energy drink moja akawa anamix, nikajiuliza,hivi mtu kama huyu kama huu ndio unywaji wake kila siku mwisho wa siku kutatokea nini?
 
Mkuu hivi vidude vinakufanya unakua addicted navyo. Mimi mwenyewe ni mhanga hapa napambana na uraibu wa kuacha kuvitumia. Nilianza kimasihara nikawa navitumia viniboost nisilale nikaishia kuwa navitumia hata mchana, leo siku ya tatu sijavitumia maana nimedhamiRia kuacha kabIsa maana kuna effects naziona kwenye afya yangu.
Effects gani acha porojo afu unakuaje addicted na kitu ni kwamba huwezi kujiamulia Hadi kikuamulie au?
 
Back
Top Bottom