cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sijawahi tumia energy drink..ningependa kujua kwa watumiaji huwa wanajisikiaje wakishatumia icho kinywaji...[emoji4]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sijawahi tumia energy drink..ningependa kujua kwa watumiaji huwa wanajisikiaje wakishatumia icho kinywaji...[emoji4]
Kwani mdogo wangu huwa watumia energy drink?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣🤣 Mimi naona tubaki hapahapa..tusome comments ingawa Dada ako Mara moja Moja napata dare for more😊Na tusiokunywa aina yeyote ya kinywaji cha kiwandani, tuna comment wapi?
Mwenzangu cc Jah kaninyima uhondo kwa kweli, eti situmii kinywaji chochote cha kiwandani, mie n maji, uji, na ulanzi.Kwani mdogo wangu huwa watumia energy drink?
Yaan bora hata wee, mie hata hiyo situmii eti.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mimi naona tubaki hapahapa..tusome comments ingawa Dada ako Mara moja Moja napata dare for more[emoji4]
Nipo mkoa fulani kwa miezi kadhaa sasa.
Nimeshangazwa na matumizi makubwa ya energy drink, husasani kwa vijana. Kuanzia za Mo hadi Azam.
Sielewi chanzo cha matumizi haya ni nini. Nafikiri serikali inatakiwa kuelimisha bayana madhara ya hivi vitu!
Jana nimesoma maelezo kwenye chupa moja kuwa "Usinywe kabla ya kwenda kulala, asitumie mama mjazito au anayenyoyesha, pili asitumie ambaye anadhuriwa na caffeine"
Zuio hili wataalamu wanatakiwa walitolee ufafanuzi. Mfano, nitajuaje ninadhuriwa na vitu vyenye caffeine.
Kwanza hiyo caffeine ni kitu gani? Cha ajabu maelezo yalimo kwenye vinywaji hivi yameandikwa kwa Kiingereza.
Inashangaza kidogo, lazima kuna kitu hapa!
Congo dustVijana ni jalala la kila kitu.
Energy drinks, pombe, al-kasusu, Mundende, Kasongo power, Mwafya, Pweza etc
Ila vyema waepuka na maradhi yanayoepukika mdogo wangu..😂😂 alafu ulanzi si waongeza kitambi mdogo wangu?Mwenzangu cc Jah kaninyima uhondo kwa kweli, eti situmii kinywaji chochote cha kiwandani, mie n maji, uji, na ulanzi.
Hapa kwa ulanzi sasa.
Sio energy drink tu tu "Ni Energy drink + Panadol/ Paracetamol)Nipo mkoa fulani kwa miezi kadhaa sasa.
Nimeshangazwa na matumizi makubwa ya energy drink, husasani kwa vijana. Kuanzia za Mo hadi Azam.
Sielewi chanzo cha matumizi haya ni nini. Nafikiri Serikali inatakiwa kuelimisha bayana madhara ya hivi vitu!
Jana nimesoma maelezo kwenye chupa moja kuwa "Usinywe kabla ya kwenda kulala, asitumie mama mjazito au anayenyoyesha, pili asitumie ambaye anadhuriwa na caffeine"
Zuio hili wataalamu wanatakiwa walitolee ufafanuzi. Mfano, nitajuaje ninadhuriwa na vitu vyenye caffeine.
Kwanza hiyo caffeine ni kitu gani? Cha ajabu maelezo yalimo kwenye vinywaji hivi yameandikwa kwa Kiingereza.
Inashangaza kidogo, lazima kuna kitu hapa!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ulanzi mtamu wee, sema nakunywaga mara chache hasa nikiwaga kwa kijijini kwa babu,Ila vyema waepuka na maradhi yanayoepukika mdogo wangu..[emoji23][emoji23] alafu ulanzi si waongeza kitambi mdogo wangu?
😂😂😂😂 Uwii sijawahi Kunywa ulanzi na siutamani Aisee..naonaga vijijini wanavyozungusha makopo wanafurahia wenyewe..loh!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ulanzi mtamu wee, sema nakunywaga mara chache hasa nikiwaga kwa kijijini kwa babu,
Jamani hata soda naishia kutazama kwa macho tyuuh.
Plus vidonge vya valium wanadumbukiza humo humoUsichojua ni kwamba vijana wana changanya na konyagi,K vant na pombe nyingine za spirit. Wachache sana wanainywa dry.
Tunacoment kule kilabuniNa tusiokunywa aina yeyote ya kinywaji cha kiwandani, tuna comment wapi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] waujua vizuri ulanzi? Basi mie hadi kuutengeneza naweza, yaan kwa ulanzi hapana hasa ule uliogemwa siku hiyo hiyo wee, utamu wake sasa kunoga kwene kukita lyo lyo lyo. Afu ukakekema chwaaaaaaah stimu yaki hinu penapo wacha kujova cc.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Uwii sijawahi Kunywa ulanzi na siutamani Aisee..naonaga vijijini wanavyozungusha makopo wanafurahia wenyewe..loh!!
Unakuywa komoni na myakaya?Tunacoment kule kilabuni
Tukanywe chimpumu mywangu