Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,299
- 40,929
Effect zip hizo mkuu unaziona, zilianza kujitokeza baada ya muda gani since umeanza matumizi?Mkuu hivi vidude vinakufanya unakua addicted navyo. Mimi mwenyewe ni mhanga hapa napambana na uraibu wa kuacha kuvitumia. Nilianza kimasihara nikawa navitumia viniboost nisilale nikaishia kuwa navitumia hata mchana, leo siku ya tatu sijavitumia maana nimedhamiRia kuacha kabIsa maana Kuna effects naziona kwenye afya yangu
Redbull nayo ina shida? Zamani nilikuwa nakitumia sana.Yupo sahihi.
Kuna baadhi ya nchi nyingi hawataki kabisa ku entertain wananchi wake wanywe redbull
I sympathize with youAcha wivu
Hizi ndiyo akili za uvccmAcha wivu
Nachoka ovyo, natoka jasho sana, muda mwngne mapigo ya Moto kwenda mbio. Kuna hisia flani inakuwa nayo mwili hauko sawa. Nikiacha baada ya muda inakuwa sawa. Nataka niflash mwili nione nitakuwaje.Effect zip hizo mkuu unaziona, zilianza kujitokeza baada ya muda gani since umeanza matumizi???
Aina madhara!Ukitumia kistaarabu
Hawa ndo vilaza wa kitanzania. Kila kitu mnasingizia mataifa ya nje. Kwani mmelazimishwa?Hizo energy drink ni sumu za kuua Waafrika.
Kisa tu kimetajwa kinywaji cha Mwamedi! Ungekuwa wewe ndiyo Barbara Gonzalez sijui ingekuwaje. Mungu ana makusudi sana kuumba kapuku.Acha wivu
BangeVijana ni jalala la kila kitu.
Energy drinks, pombe, al-kasusu, Mundende, Kasongo power, Mwafya, Pweza etc
Effects gani acha porojo afu unakuaje addicted na kitu ni kwamba huwezi kujiamulia Hadi kikuamulie au?Mkuu hivi vidude vinakufanya unakua addicted navyo. Mimi mwenyewe ni mhanga hapa napambana na uraibu wa kuacha kuvitumia. Nilianza kimasihara nikawa navitumia viniboost nisilale nikaishia kuwa navitumia hata mchana, leo siku ya tatu sijavitumia maana nimedhamiRia kuacha kabIsa maana kuna effects naziona kwenye afya yangu.