Serikali mulikeni haya matumizi ya energy drink!

Sijawahi tumia energy drink..ningependa kujua kwa watumiaji huwa wanajisikiaje wakishatumia icho kinywaji...[emoji4]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na tusiokunywa aina yeyote ya kinywaji cha kiwandani, tuna comment wapi?
 
Hizo energy drinks baada ya kusoma maelezo ya kwenye chupa niliacha kunywa karibu miez 8 iliyopita na sitarajii kunywa tena
 
Na tusiokunywa aina yeyote ya kinywaji cha kiwandani, tuna comment wapi?
🀣🀣🀣🀣 Mimi naona tubaki hapahapa..tusome comments ingawa Dada ako Mara moja Moja napata dare for more😊
 
Kwani mdogo wangu huwa watumia energy drink?
Mwenzangu cc Jah kaninyima uhondo kwa kweli, eti situmii kinywaji chochote cha kiwandani, mie n maji, uji, na ulanzi.
Hapa kwa ulanzi sasa.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mimi naona tubaki hapahapa..tusome comments ingawa Dada ako Mara moja Moja napata dare for more[emoji4]
Yaan bora hata wee, mie hata hiyo situmii eti.
 

Watanzania wengi wetu ushamba umetutawala,, tunapenda kuparamia vi2 hovyo. Mutu anajinywea energy drink hata 3 bottles per day halafu anajisifu 😁😁
 
Umepewa utashi, tumia akili yako kuchanganya mambo. Kabla ya kutumia product, japo wewe sio chemist walau jiridhishe kidogo kuwa ni salama kwa afya yako.

Nashukuru vinywaji vingi vya Azam & Mo huwa sijawahi kutumia, hizo energy drinks, punch za apple, cola nk. Siviamini tu..
 
Vijana ni jalala la kila kitu.

Energy drinks, pombe, al-kasusu, Mundende, Kasongo power, Mwafya, Pweza etc
Congo dust
Nshukuna
Wenka
Sumbuz
Bazouka
Mataka taka yote kisha mbunye
Manina mtakufa na cancer eti mwanamke asikuache mavi yao

Dunian kuna vitu viwili havikomolewi
Pombe na mbunye
 
Mwenzangu cc Jah kaninyima uhondo kwa kweli, eti situmii kinywaji chochote cha kiwandani, mie n maji, uji, na ulanzi.
Hapa kwa ulanzi sasa.
Ila vyema waepuka na maradhi yanayoepukika mdogo wangu..πŸ˜‚πŸ˜‚ alafu ulanzi si waongeza kitambi mdogo wangu?
 
Sio energy drink tu tu "Ni Energy drink + Panadol/ Paracetamol)
 
Ila vyema waepuka na maradhi yanayoepukika mdogo wangu..[emoji23][emoji23] alafu ulanzi si waongeza kitambi mdogo wangu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ulanzi mtamu wee, sema nakunywaga mara chache hasa nikiwaga kwa kijijini kwa babu,
Jamani hata soda naishia kutazama kwa macho tyuuh.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ulanzi mtamu wee, sema nakunywaga mara chache hasa nikiwaga kwa kijijini kwa babu,
Jamani hata soda naishia kutazama kwa macho tyuuh.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Uwii sijawahi Kunywa ulanzi na siutamani Aisee..naonaga vijijini wanavyozungusha makopo wanafurahia wenyewe..loh!!
 
Hayo matakataka kwa kweli hats kina mo hawanywi aseeh

Vijana wanapukutika bado mundende apo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Uwii sijawahi Kunywa ulanzi na siutamani Aisee..naonaga vijijini wanavyozungusha makopo wanafurahia wenyewe..loh!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] waujua vizuri ulanzi? Basi mie hadi kuutengeneza naweza, yaan kwa ulanzi hapana hasa ule uliogemwa siku hiyo hiyo wee, utamu wake sasa kunoga kwene kukita lyo lyo lyo. Afu ukakekema chwaaaaaaah stimu yaki hinu penapo wacha kujova cc.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…