Aisee jitahidi sana uondokane na hii addiction..Mkuu hivi vidude vinakufanya unakua addicted navyo. Mimi mwenyewe ni mhanga hapa napambana na uraibu wa kuacha kuvitumia. Nilianza kimasihara nikawa navitumia viniboost nisilale nikaishia kuwa navitumia hata mchana, leo siku ya tatu sijavitumia maana nimedhamiRia kuacha kabIsa maana kuna effects naziona kwenye afya yangu.
Yaani wewe kama mimi... Sijui why sina trust nazoUmepewa utashi, tumia akili yako kuchanganya mambo. Kabla ya kutumia product, japo wewe sio chemist walau jiridhishe kidogo kuwa ni salama kwa afya yako.
Nashukuru vinywaji vingi vya Azam & Mo huwa sijawahi kutumia, hizo energy drinks, punch za apple, cola nk. Siviamini tu..
Effects zipi Mkuu?Mkuu hivi vidude vinakufanya unakua addicted navyo. Mimi mwenyewe ni mhanga hapa napambana na uraibu wa kuacha kuvitumia. Nilianza kimasihara nikawa navitumia viniboost nisilale nikaishia kuwa navitumia hata mchana, leo siku ya tatu sijavitumia maana nimedhamiRia kuacha kabIsa maana kuna effects naziona kwenye afya yangu.
France,denmark,norway walipiga marufuku redbull
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
5tena na engery drinkNipo mkoa fulani kwa miezi kadhaa sasa.
Nimeshangazwa na matumizi makubwa ya energy drink, husasani kwa vijana. Kuanzia za Mo hadi Azam.
Sielewi chanzo cha matumizi haya ni nini. Nafikiri Serikali inatakiwa kuelimisha bayana madhara ya hivi vitu!
Jana nimesoma maelezo kwenye chupa moja kuwa "Usinywe kabla ya kwenda kulala, asitumie mama mjazito au anayenyoyesha, pili asitumie ambaye anadhuriwa na caffeine"
Zuio hili wataalamu wanatakiwa walitolee ufafanuzi. Mfano, nitajuaje ninadhuriwa na vitu vyenye caffeine.
Kwanza hiyo caffeine ni kitu gani? Cha ajabu maelezo yalimo kwenye vinywaji hivi yameandikwa kwa Kiingereza.
Inashangaza kidogo, lazima kuna kitu hapa!
Mo Dewj
Bakhressa ni Raia wa wapi? Hiv kwa nini hampend Elimu?mnapenda ujinga na majungu? Akili mpaka zinaota kutu na fungus😂🐵👆
Mkuu sikia hii, katika maisha yangu niliwahi kunywa energy hizi ndogo za jero mara mbili na ya juzi ndo ilikuwa ya tatu,sababu niutaratbu wangu sipendi kutumia hizi vtu za kusindikwa kinywaji changu kikuu ni maji,kwa sababu sio mpenzi wa hivi vitu basi mara ya kwanza niliokunywa energy ilikuwa wakati nikisoma chuo third year ilitokea nilikuwa na paper mbili zinafuatana yaani ni zile ngoma kali)kwa watu wa physics wanaelewa)basi mida ya sa mbili usiku nikapiga energy ndogo nilipiga msuli mpaka asubuh nikaunga paper la sa mbili na kumalizia la sa tisa sa kumi na mbili nilirud hostel siku hyo nililala kama nimekufaa bahati kesho yake ilikuwa weekend,mara ya pili ni miaka miwili imepita siku hyo nilikuwa na kazi nyingi afu nimechoka ikabid nipige moja nilaleNachoka ovyo, natoka jasho sana, muda mwngne mapigo ya Moto kwenda mbio. Kuna hisia flani inakuwa nayo mwili hauko sawa. Nikiacha baada ya muda inakuwa sawa. Nataka niflash mwili nione nitakuwaje.
Naunga hoja ✊Nipo mkoa fulani kwa miezi kadhaa sasa.
Nimeshangazwa na matumizi makubwa ya energy drink, husasani kwa vijana. Kuanzia za Mo hadi Azam.
Sielewi chanzo cha matumizi haya ni nini. Nafikiri Serikali inatakiwa kuelimisha bayana madhara ya hivi vitu!
Jana nimesoma maelezo kwenye chupa moja kuwa "Usinywe kabla ya kwenda kulala, asitumie mama mjazito au anayenyoyesha, pili asitumie ambaye anadhuriwa na caffeine"
Zuio hili wataalamu wanatakiwa walitolee ufafanuzi. Mfano, nitajuaje ninadhuriwa na vitu vyenye caffeine.
Kwanza hiyo caffeine ni kitu gani? Cha ajabu maelezo yalimo kwenye vinywaji hivi yameandikwa kwa Kiingereza.
Inashangaza kidogo, lazima kuna kitu hapa!
Tobaaaaaaah makubwa haya lolukiona jamaa anapanda juu lisaa lizima ajakojoa jua kabisa kapiga energy na panaldo
Kanda ya ziwa yupo Jambo energy drink, ni hatariEnergy drink ya mo na azam ni tofauti
Weka ugoro na valiumVijana ni jalala la kila kitu.
Energy drinks, pombe, al-kasusu, Mundende, Kasongo power, Mwafya, Pweza etc
Serikali ipi inalinda hao ?.
Mwisho wa siku vijana wengi hamna stamina kisa energy drink
Sasa mkuu mbona hoja yako inashangaza sana, serikali ifanye nini tena kuhusu energy drink ambazo zinatoa maelekezo ya matumizi yake, ukitaka kujua kama vitu vya caffein vinakudhuru kafanye check up, halafu kama zimeandikwa kiingereza hiyo lugha si inafundishwa tangu std one mkuu ndio ushindwe kung'amua hata vi maelezo baada ya kuisoma miaka saba pengine na zaidi? Unataka Energy drinks zipigwe marufuku au?
vina madhara hasa kwa central nerve system
Bingolala? Ndiyo kitu gani hicho? Hukupata elimu. Bakhressa anazungumza kichina? Mo dewji anazungumza kijerumani? Hufaham mswahili ni nani. Na huna hat elimu ndogo kufahamu kuwa bakhressa ana watoto ambao mimi nimewazidi weupe.Mimi sisemi raia tu, mimi nasema Waswahili yaani watu weusi wanaoongea kiswahili na raia wa Tz, hao uliowataja ni watu weusi??.
Sio siri watu weusi tumekuwa targeted ili idadi yetu ipunguzwe duniani, kuna njia nyingi za siri zimekuwa zikifanywa njia mojawapo ni kupitia chanjo, vyakula kama (GMO) na canned foods na vinywaji mbalimbali nk, vitu hivi vingine huua polepole via vya uzazi na hatimaye watu kushindwa kuzaa au wanawake kupata taabu kuzaa au kujifungua kwa operation na kuibuka kwa magonjwa ya kansa za shingoza uzazi na kansa za matiti kwa kina mama na prostate cancer kwa kina baba, visukari nk, magonjwa ambayo hapo zamani hayakuwepo.
Sitaki kusema kwamba hao wenye viwanda wanajua mpango huo, laa hasha ila ni lazima tujue huo mpango upo na unasimamiwa na matajiri wakubwa duniani, The World depopulation program.
Fungua akili yako wewe Bingolala.🤣
Fungua bingolala 😂 sijui ni nini hiki ulichoandika. Nmegundua najaribu kukaelewesha kavulana kadogo ka primary school ambako hakajui hata kuandika.Mimi sisemi raia tu, mimi nasema Waswahili yaani watu weusi wanaoongea kiswahili na raia wa Tz, hao uliowataja ni watu weusi??.
Sio siri watu weusi tumekuwa targeted ili idadi yetu ipunguzwe duniani, kuna njia nyingi za siri zimekuwa zikifanywa njia mojawapo ni kupitia chanjo, vyakula kama (GMO) na canned foods na vinywaji mbalimbali nk, vitu hivi vingine huua polepole via vya uzazi na hatimaye watu kushindwa kuzaa au wanawake kupata taabu kuzaa au kujifungua kwa operation na kuibuka kwa magonjwa ya kansa za shingoza uzazi na kansa za matiti kwa kina mama na prostate cancer kwa kina baba, visukari nk, magonjwa ambayo hapo zamani hayakuwepo.
Sitaki kusema kwamba hao wenye viwanda wanajua mpango huo, laa hasha ila ni lazima tujue huo mpango upo na unasimamiwa na matajiri wakubwa duniani, The World depopulation program.
Fungua akili yako wewe Bingolala.🤣
Hakuna Upuuzi kama huu hivi nyie shule hata primary school haikuondoa kabisa ukoko vichwani mwenu?Enegy drink zenye madhara zipigwe marufuku.
Dawa gani ya kuflash mwili mkuu!? Nitajie na Mimi naitakaMimi hayo mengine Sina shida nayo natumia vzuri tu kuanzia kahawa majani ya chai ila hizi energy drinks nmeztumia zaidi ya kiwango kinachohitajika nikajikuta nimeanza kuwa na uraibu nazo hivyo nmedhamiria kuacha, leo naelekea siku ya nne sijat Iumia badala yake natumia maji, ila nataka niflash mwili kwanza.