Serikali mwangalieni kwa jicho kubwa meneja TRA wa Masasi

serikali gani unayoiambia,hii inchi imejaa vilaza,umeshasikia meneja wa TRA katumbuliwa kwa mambo kama hayo ,hujui kuwa hao unaowasema wanapangiwa kiasi cha kukusanya na hiyo serikali yako,wasipotimiza lengo imekula kwao,NI LAZIMA ATUMIE NGUVU KUKUSANYA MAPATO,NAMPONGEZA SANA ,TENA AZIBURUTE BAJAJI HATA KWA KIFARU ZILIPE KODI

Sent from my itel A11 using JamiiForums mobile app
 
CCM ya leo haipendi wafanyabiashara. Nyie wafanyabiashara ni wapiga dili, na mkiendelea kupiga vuvuzela zenu hapa JF, tutawapeleka kwa DPP tukagawane Kati kwa Kati kile chote mlichonacho
lipeni kodi ,ccm imeshinda nchi nzima na nyie mmekubali ushindi wake ,LIPENI KODI

Sent from my itel A11 using JamiiForums mobile app
 
Hiyo asilimia kubwa umeipata kwa kuhoji watu wangapi ?
 
Kunywa bia kwa bili yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…