Serikali na CCM walivyo na sikio la kufa lisilosikia dawa, tayari wanataka kuanzisha vita nyingine kubwa na hatari zaidi na Kanisa la Mungu

Nenda China uone kama kuna huo upuuzi wa makanisa
Wewe ndiyo kaishi China ambako hakuna makanisa..

Hapa kwetu tuna kanisa la Mungu na lina role yake kubwa katika utawala wa nchi..

Si lazima uelewe, lakini that is undiputed truth kwamba kanisa likisimama kwenye nafasi yake, basi Kila goti (hata la Samia Suluhu Hassan) litapigwa na Kila ulimi utakiri kuwa, yupo Mungu Yehova aliye mamlaka kuu kuliko zote duniani na mbinguni..!
 
Ni hatari sana..

Kuna kila dalili kuwa, baada ya tamko la Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki (TEC), vita ya skandali la bandari inakwenda kuchukua sura nyingine kati ya kikundi kilichomo ndani ya serikali kilichotengeneza uchafu huu na Kanisa la Mungu..

Na bila shaka TEC imetangulia tu na muda si mrefu The Christian Council of Tanzania (CCT) na The Council of Pentecostal Churches of Tanzania (CPCT) nao wanakuja na matamko yao na misimamo yao na tunafikiri yatakuwa ni matamko ya namna gani?

Obvious ni kuukataa mkataba huu kwani kwa sababu ziwazo zote, hakuna mtu yeyote mwenye akili timamu na hajahongwa anaweza kukubaliana na ujinga na uchafu huu unaoitwa IGA kati ya Dubai Emirate na Tanzania...!!

Kama Rais Samia Suluhu Hassan akishindwa kutumia fursa hii kwa serikali yake kurudi kwenye drawing board ili kufikiria namna nyingine ya ubia wa uboreshaji wa bandari zetu badala ya mkataba huu mbovu na Dubai kupitia kampuni yao ya DP World, basi awe tayari kuanza kuitumikia hukumu yake yeye na watu wake wote walio nyuma ya scandal hii..

Ni hukumu yake kwa sababu dalili zinaonesha kuwa hiki kikundi baada ya kumshawishi Rais na Kwa baraka zake kinakwenda kuanzisha vita na kanisa la Mungu..

Hili likitokea, basi itakuwa ni heri ya wapiganiao haki maana hakuna mamlaka ya serikali yoyote ya kidunia imewahi kushindana na Kanisa la Mungu na mamlaka hiyo ikasimama na kushinda. Tunayo mifano mingi ktk historia ya Biblia kama vile Babeli ya kale, dola la Rumi ya kale, Misri ya Farao nk..

Rais Samia Suluhu Hassan, za kuambiwa changanya na za kwako mama. Wewe ni mwanamke, usiingie ktk historia ya wanawake viongozi wa hovyo waliowahi kuongoza nchi zao na kutoka kwa aibu...
Soma mmaandiko uelewee ndipo uje useme kanisa la Mungu nilipii
 
Kwa hiyo unataka kusema nini?

Je, una maana kuwa hii ni sababu ya uhalali wa IGA au mkataba huu wa waarabu wa Dubai kupitia kampuni yao ya DP World..??

Yaani ili kudhibiti mifumo ya kutakatisha pesa haramu bandarini, mipakani, vuwanja vya ndege au ukwepaji Kodi unahitaji kuleta mwekezaji toka Ulaya au Uarabuni..?

Unajua unasema nini kweli wewe?

Kama tunahitaji uwekezaji wa wazungu wa Ulaya au waarabu wa Dubai kudhibiti utakatishaji wa pesa na ukwepaji kodi kwenye bandari zetu au viwanja vyetu vya ndege, na mipaka ya nchi yetu nk, basi mahali sahihi pa kuweka mwekezaji wa Ulaya au Dubai ni ikulu yetu, bunge letu na mahakama zetu na idara ya polisi na TISS...!

Ukiona taasisi zinashindwa kutekeleza wajibu wao ili kuleta ustawi wa wananchi wote kiuchumi na kijamii, tambua kuwa serikali iliyopo ime - compromise na uovu na yeye kuwa uovu halisi na hivyo itakuwa imeshindwa na inapaswa kuondolewa Kwa hiari au Kwa nguvu..!
Hili suala limewagusa watu kwa maslahi yao
Kama mkataba ni mbovu hayo yanajadiliwa sana ila sasa tunajua bandari yanapita madudu mengi sana tena bure bila kulipa kodi
Na wengi wwnaingiza kwa jina la Tax exempt
Asante kwa kujibu bila jazba ila nauliza kwa nini wawe wanatoa matamko vipindi kadhaa tu na wanapogusa maslahi?

Tunajua yanayoendelea na yajayo yatakuwa mazuri zaidi
Tatizo hatuambiani ukweli nao waseme tu mmegusa mlo
 
Kama kina nani? Maaskofu wa TEC? How exactly?

Ya akina nani? Ya maaskofu wa TEC? Au ya viongozi wa CCM na serikali yao?

Usizunguke mbuyu. Fafanua hoja zako ueleweke...!

Mimi nilidhani unasema watu wanakwepa kodi kumbe ni exemption by the law? Shida ni nini sasa hapo?

By the way, hiyo tax exemption wanajipa wao hao ambao wako exmpted au ndiyo sheria iliyopitishwa na bunge?

Unauliza swali gani hili wewe?

Utakwendaje kupigana vita pasipo kuwa na vita?

Hujaeleweka..

Yaani unakunywa sumu ya kufisha halafu unasema yajayo yatakuwa mazuri!!??
 
Maslahi yakiguswa mahali kuna tonge na unawapokonya basi tegemea kelele za aina zote
Goods exempt from tax zilianza miaka yaani kabla hata ya Uhuru
Ila kuna watu wanaitumia vibaya wanaingiza kila kitu kupitia bandari wakisingizia msamaha wa Kodi
Humo humo wanatakatisha na hela haramu
Kila mmoja alipe kodi na tuache wizi na kujiita wapenda nchi na rasilimali zake huku kuna maslahi binafsi
Mkuu umeongea kitu kikubwa sana!

Wachache wataafikiana na wewe kwasababu wengi wapo kwenye orodha ya malipo.
 
Ni hatari sana..

Kuna kila dalili kuwa, baada ya tamko la Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki (TEC), vita ya skandali la bandari inakwenda kuchukua sura nyingine kati ya kikundi kilichomo ndani ya serikali kilichotengeneza uchafu huu na Kanisa la Mungu..

Na bila shaka TEC imetangulia tu na muda si mrefu The Christian Council of Tanzania (CCT) na The Council of Pentecostal Churches of Tanzania (CPCT) nao wanakuja na matamko yao na misimamo yao na tunafikiri yatakuwa ni matamko ya namna gani?

Obvious ni kuukataa mkataba huu kwani kwa sababu ziwazo zote, hakuna mtu yeyote mwenye akili timamu na hajahongwa anaweza kukubaliana na ujinga na uchafu huu unaoitwa IGA kati ya Dubai Emirate na Tanzania...!!

Kama Rais Samia Suluhu Hassan akishindwa kutumia fursa hii kwa serikali yake kurudi kwenye drawing board ili kufikiria namna nyingine ya ubia wa uboreshaji wa bandari zetu badala ya mkataba huu mbovu na Dubai kupitia kampuni yao ya DP World, basi awe tayari kuanza kuitumikia hukumu yake yeye na watu wake wote walio nyuma ya scandal hii..

Ni hukumu yake kwa sababu dalili zinaonesha kuwa hiki kikundi baada ya kumshawishi Rais na Kwa baraka zake kinakwenda kuanzisha vita na kanisa la Mungu..

Hili likitokea, basi itakuwa ni heri ya wapiganiao haki maana hakuna mamlaka ya serikali yoyote ya kidunia imewahi kushindana na Kanisa la Mungu na mamlaka hiyo ikasimama na kushinda. Tunayo mifano mingi ktk historia ya Biblia kama vile Babeli ya kale, dola la Rumi ya kale, Misri ya Farao nk..

Rais Samia Suluhu Hassan, za kuambiwa changanya na za kwako mama. Wewe ni mwanamke, usiingie ktk historia ya wanawake viongozi wa hovyo waliowahi kuongoza nchi zao na kutoka kwa aibu...
Asubuhi BAKWATA watatoa walaka wa kuunga mkono uwekezaji bandarini.
 
Kama kina nani? Maaskofu wa TEC? How exactly?

Ya akina nani? Ya maaskofu wa TEC? Au ya viongozi wa CCM na serikali yao?

Usizunguke mbuyu. Fafanua hoja zako ueleweke...!

Mimi nilidhani unasema watu wanakwepa kodi kumbe ni exemption by the law? Shida ni nini sasa hapo?

By the way, hiyo tax exemption wanajipa wao hao ambao wako exmpted au ndiyo sheria iliyopitishwa na bunge?

Unauliza swali gani hili wewe?

Utakwendaje kupigana vita pasipo kuwa na vita?

Hujaeleweka..

Yaani unakunywa sumu ya kufisha halafu unasema yajayo yatakuwa mazuri!!??
Tax exempt inatumika sivyo na linaeleweka
Lipo kisheria ila wote waliopo iwe kwenye madaraka au dini au viongozi
Wengi walikuwa wanaingiza bidhaa kwa kutumia hizo loopholes
Anyway ukweli utajulikana siku moja
 
Kinachotafutwa hapa ni vita ya udini baada ya kuonekana ya uzanzibari vs utanganyika umeshindikana,, Mungu bado anaipenda Tanzania tuendelee kuiombea,,
na udin anautaka Samia maana hoja zipo wazi kwann hatak kuboresha mkataba ? je hi sio dalili ya rushwa? waarab wapo kimya , yeye badala apiganie maoni ya raia wake anapigania mkataba wa waarabu HUSTUKII TU
 
Msitishe watu kwa hoja ya kanisa la Mungu kwani hayo mengine ya shetani?Rwanda washiriki wakubwa wa genocide walikuwa maaskofu wa hilo kanisa mnaloliita la Mungu.Wamekamatwa wengi tu Ulaya na wengine wanasakwa.Ndio maana Kagame hataki huo ujinga
Msifikiri mnayo sole rights ya kuwasemea watanzania wote na kuwaamulia mambo yao.Huo uwezo kawapa nani?
 
Nenda China uone kama kuna huo upuuzi wa makanisa
kwamba kwa akili yako unafikir kila mtu humu jf hajafika china mpaka utuambie twende chini, wewe ni mpumbavu maana unaonekana hata huko china hupajui ila unapasikia tu, haya hebu tuambie huko china kunamadhehebu gani na ya dini zipi?
NOTE: Usifikir kila mtu hajatembea hii dunia kama wewe na upumbavu wako wa makuwadi ya dpwold hapo lumumba.
 
Sasa tunasubiria na Bakwata watoe Tamko hawa huku wale kule Tukutane kati kati
Kwa Bakwata ipi?
Mzee Bakwata Hakuna kidume Cha kutetemesha Nchi hii Watu wenye Nguvu walishakufa/Walishapita..

Bado miaka 8_10 ndo Bakwata itapata mtu mwenye Sauti TANZANIA..
 
Asubuhi BAKWATA watatoa walaka wa kuunga mkono uwekezaji bandarini.
Mkataba ulitakiwa kurekebishwa vipengele tu.
Sasa inaenda kuwa vita ya kidini kupitia siasa.
Bahati mbaya BAKWATA hatuna mtu mwenye nguvu(zingatia hili)..

Soon JUJU zitatembea mtazika watu kwa kisingizio Cha BP over normal.
Rais ima uendelee na mchakato au usitishe lakini tafadhali asifanya maamuzi kwa matako ya TEC NA BAKWATA.lasivo wazee wetu watasafirishana..
 
Ni hatari sana..

Kuna kila dalili kuwa, baada ya tamko la Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki (TEC), vita ya skandali la bandari inakwenda kuchukua sura nyingine kati ya kikundi kilichomo ndani ya serikali kilichotengeneza uchafu huu na Kanisa la Mungu.

Na bila shaka TEC imetangulia tu na muda si mrefu The Christian Council of Tanzania (CCT) na The Council of Pentecostal Churches of Tanzania (CPCT) nao wanakuja na matamko yao na misimamo yao na tunafikiri yatakuwa ni matamko ya namna gani?

Obvious ni kuukataa mkataba huu kwani kwa sababu ziwazo zote, hakuna mtu yeyote mwenye akili timamu na hajahongwa anaweza kukubaliana na ujinga na uchafu huu unaoitwa IGA kati ya Dubai Emirate na Tanzania.

Kama Rais Samia Suluhu Hassan akishindwa kutumia fursa hii kwa serikali yake kurudi kwenye drawing board ili kufikiria namna nyingine ya ubia wa uboreshaji wa bandari zetu badala ya mkataba huu mbovu na Dubai kupitia kampuni yao ya DP World, basi awe tayari kuanza kuitumikia hukumu yake yeye na watu wake wote walio nyuma ya scandal hii.

Ni hukumu yake kwa sababu dalili zinaonesha kuwa hiki kikundi baada ya kumshawishi Rais na Kwa baraka zake kinakwenda kuanzisha vita na kanisa la Mungu.

Hili likitokea, basi itakuwa ni heri ya wapiganiao haki maana hakuna mamlaka ya serikali yoyote ya kidunia imewahi kushindana na Kanisa la Mungu na mamlaka hiyo ikasimama na kushinda. Tunayo mifano mingi ktk historia ya Biblia kama vile Babeli ya kale, dola la Rumi ya kale, Misri ya Farao nk.

Rais Samia Suluhu Hassan, za kuambiwa changanya na za kwako mama. Wewe ni mwanamke, usiingie ktk historia ya wanawake viongozi wa hovyo waliowahi kuongoza nchi zao na kutoka kwa aibu.
Aingie mara ngapi?
 
Sijui nicheke sijui nilie ila zote ni kelele.

Na waje wajue Nguvu za Mungu.
 
Unafikiri kila mtu ana imani ya kikatoliki?
 
Back
Top Bottom